Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kisiasa, la kuyamaliza maradhi ya UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kulingana na azimio hilo wanachama wa baraza hilo kuu wameahidi kupunguza kiwango cha maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hadi 370,000 na vifo vitokanavyo na UKIMWI hadi chini ya...