Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...