mataa

Moka Kainga-mataa [Te Kaingamataa/Te Kaingamata/Te Kainga-mata/Te Kainga-mataa] (1790s–1860s) was a Māori rangatira (chief) of the Ngā Puhi iwi from Northland in New Zealand. He was distinguished in war and an intelligent participant in the Treaty of Waitangi process.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

    Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
  2. mirindimo

    ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

    Ili Bajaji iruhusiwe kupiga u turn na kurudi kkoo huyu askari anachukua 3000 kila bajaji kama rushwa
  3. shwjo

    KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
  4. Sifi Leo

    Mataa ya daraja la furahisha yalikufa na Magufuli, je kigamboni Bado yanawaka? Hata kama hampendi magu, HACHENI hizo.

    Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli? Je kigamboni Bado zinawaka? Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
  5. Hance Mtanashati

    Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  6. A

    KERO Traffic lights za Kijitonyama Mataa Tatizo

    Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi! Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile picha nyekundu ya mtu akiwa amesimama siku hizi haibadiliki. Hivyo muda wote ni magari tu na...
  7. P

    KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  8. S

    WaTanzania Chadema ni wajanja ,wameshajipanga tena kutuacha kwenye mataa

    MOSI, Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate...
  9. mahindi hayaoti mjini

    Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

    Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
  10. D

    KERO Mataa ya Bagamoyo Road yamekuwa Kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Habari Zenu, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya barabara hii, kuanzia njia panda ya Goba Masana hadi hapa Tanki Bovu na njia panda ya kwenda Kawe...
  11. cabo

    KERO Mataa ya Korogwe, Bucha (kwa Thomas) na Kibo hayafanyi kazi na kupelekea madereva kuvunja sheria za barabarani

    Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja kutokana na huyo mzee yeye ndio alikuwa anauza mdudu pendwa yule kwa wale wenzetu wasiopenda kumla...
  12. FRANCIS DA DON

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
  13. Lycaon pictus

    Mataa ya kuongoza magari yanasababisha foleni

    Mataa yaliundwa ili kuongeza usalama kwenye makutano ya barabara. Lakini yana athari moja mbaya. Yanaleta foleni mijini. Utafiti umefanyika umeonyesha kuwa roundabouts ni salama kuliko mataa na pia hazileti foleni. Mfano hai: Zamani Mbeya kulikuwaga hakuna foleni. Lakini tokea waweke mataa...
  14. Desierto

    Arusha: Taa za barabarani🚥hazifanyi kazi muda sasa

    Ni ile njia kuu ya kati unakuta muda wowote inawaka taa ya njano pekee hali inayosababisha kuharibu utaratibu kwa watembea kwa miguu hasa wanaotoka Stendi Kuu kuelekea kupanda gari zinazoenda sehemu mbali mbali ndani ya jiji, Mara nyingi wavuka kwa miguu ni wengi muda wowote hivyo huvuka baada...
  15. M

    Ni mimi kilaza au Tanroads: Sioni umuhimu wa taa za kuongoza magari Sam Nujoma vs Simu 2000 (Mawasiliano)

    Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
  16. M

    Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotumika taifa letu ujengwe mnara mkubwa Chato eneo la mataa Muungano ili iwe kumbukumbu shadidi

    Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma. Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa. Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  18. Lycaon pictus

    Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro. Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
  20. FRANCIS DA DON

    Kwa nini Serikali inashindwa kufunga CCTV camera kwenye mataa?

    Kwa waliowahi kununua CCTV camera tunaomba mtusaidia, hivi set moja inauzwa bilioni ngapi kwani? Maana hadi serikali imeshindwa kununua walau seti kumi tu za kufunga kwenye mataa kama ya Mwenge, Morroco Nk, inamaanisha zitakuwa ni bei mbaya sana. Seti moja inauzwa Trillioni ngapi kwani...
Back
Top Bottom