maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

    Maswali ya kujiuliza: Kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa? Je, huu mradi ni kipaumbele cha Taifa? Je, ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile solar tutafanyaje kama taifa ? Je, uchunguzi umefanyika wakutosha na kugundua kwanini viwanda vingi...
  2. JamiiForums Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
  3. R

    JamiiForums Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Wakuu haya mambo ya DNA najua yatakuwa yamewagusa wanaume wengi! Nina mwanangu mdogo ndiyo atauanza mwaka wa nne hapa duniani muda sio mrefu ni wakike. Nina uhakika ni wakwangu kwasababu tunafanana kwa kiasi kikubwa. Sikuwepo nyumbani kwa takribani siku 6. Nilitoka kikazi kidogo...
  4. JamiiForums Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…