Leo ninawaenzi mashujaa wote waliopigania uhuru wa nchi yetu na wale wanaoendelea kujitolea kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.
Mashujaa si wale tu walioandika historia, bali pia ni wazazi wanaolea watoto kwa kujituma, vijana wanaopambana kutimiza ndoto zao, na wananchi wanaojitolea kuleta...