mashirika ya kimataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    DOKEZO ATCL na Mamlaka ya Anga Tanzania Jifunzeni kwa Mashirika ya Kimataifa mboreshe huduma zenu

    Tukio la hivi karibuni la abiria waliotoka Bukoba kuja Dar es Salaam (kupitia Mwanza) tarehe 21 Februari 2026, ni kielelezo tosha cha mateso tunayopitia wananchi. Kuanzia uwanja wa ndege wa Bukoba kukosa umeme na jenereta la akiba—hali iliyopelekea abiria kukaguliwa mizigo yao kwa kumwagiwa...
  2. ELI COHEN

    Unyama unaofanyika Syria, Nigeria KaskazinI na Sudan unatisha mno. Arab league, UN na AU zipo kimya. Sasa iguse Gaza uone

    Kuna wakat niliwahi kuwaambia watu huku kuwa ishu ya free palestine ni mtandao wenye kazi maalum wakabisha mno. Hadi hapo hapo walipogundua pesa inayomwagika kufadhili ugaidi kupitia mgongo wa free palestine, watu kutajilika kupitia fedha zinazolengwa kwa wanagaza na free palestine kutumika...
  3. Genius Man

    PostGE2025 Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia

    Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia. Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
  4. Dennis Robert Shughuru

    Ntaifanya Tanzania kuwa kitovu cha mashirika ya kimataifa

    Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo...
  5. JamiiCheck

    Ukutanapo na taarifa za uwepo wa zawadi za pesa kutoka Mashirika ya Kimataifa, thibitisha kwanza kutoka vyanzo sahihi

    Upotoshaji hufanyika kwa njia nyingi ikiwemo kusambazwa kwa jumbe zinazodaiwa kuwa ni zawadi zinazotolewa na Mashirika ya kimataifa kama vile UNICEF na mengine. Ukutanapo na taarifa za aina hii hakikisha unathibitisha kuona kama ni kweli imetolewa na chanzo husika ili kufanya maamuzi yaliyo...
  6. Mapenzi ya Mungu

    NGO za Marekani

    Ajira ngumu tuanzishe NGO vijana zinalipa hata USA zipo!? Wakija Sanasema hata Tanzania zipo chagua mlengo wa NGO na anzisha NGO sasa Social Development Issues Disability Conference of States Parties to the Convention on the Rights of Persons with Disabilities (COSP) List of Non-Governmental...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  8. Just Pray

    Trump atia saini amri ya kujiondoa kwa Marekani kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa

    Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa Amri hiyo ilitangaza...
Back
Top Bottom