Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...