mashahidi wa siri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    PostGE2025 Shahidi P3 kwenye kesi ya Lissu: Sijui utanijuaje ila mimi ni MwanaCHADEMA. Sijaorodheshwa kwenye chama. CHADEMA ni imani

    Wakuu, Haya ndugu zangu huyu shahidi yeye anasema CHADEMA ni IMANI kwa hiyo hana kitambulisho wala kielelezo chochote kuwa yeye ni mwanachama Hivi wameshindwa hata kutengeneza kitambulisho ambacho angepewa jaji kama ushahidi kuwa huyu ni Mwana CHADEMA? =========== Mhe. Lissu: nataka nikuhoji...
  2. McLaren

    PostGE2025 Kesi ya Lissu imeahirishwa hadi kesho Februari 19 baada ya Serikali kuwa na shahidi mmoja tu

    Wakuu, Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi. Upande wa Serikali uliieleza Mahakama kuwa una shahidi mmoja tu kwa siku hiyo, hali iliyosababisha kuomba kuahirishwa kwa shauri...
  3. Mindyou

    PostGE2025 Shahidi wa kesi ya Lissu (P7) anasema alikamatwa mara tu baada ya kuangalia video ya Lissu iliyokuwa Jambo TV

    Wakuu, Huyu shahidi anasema mara tu baada ya kuangalia video ya Jambo TV kuhusu kauli ya Lisu kuwa atakinukisha, alifuatwa na Polisi na kukamatwa na kisha akapelekwa kwa RCO ambapo alipewa kosa la kutaka kuanzisha fujo. Does this make sense? ======================= Wakili: Tarehe 03/04/2025...
  4. R

    Kesi ya Lisu ni delaying tactics ili ateseke au asalimu amri ya matakwa yao ya kuunga juhudi

    Mashahidi wote wanaongelea uchochezi /sedition na si UHAINI! SASA IF THAT IS THE CASE, KUNA KESI GANI HAPO YA KUMUWEKA LISU GEREZANI? Sasa hao mashahidi 23 waliobaki wana nini cha zaidi maana hawawezi kupata ushahidi wa TREASON Soma hii clip chini
  5. Heparin

    Mahakama Kuu: Kifungu kinachoruhusu kuficha mashahidi wa kesi ni batili na kinyume na Katiba

    Leo Februari 16, 2026, Jopo la Majaji watatu Mheshimiwa Jaji Fahamu, J. Mheshimiwa Jaji Chuma, na Mheshimiwa Jaji Kamana, limeamua kuwa kifungu cha 194 cha sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act (CPA) ni kinyume cha Katiba kwa kuwa kinampa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai...
  6. Allen Kilewella

    Hao mashahidi wa kificho kesi ya Lissu hawatajulikana milele?

    Lengo la kuwafanya baadhi ya mashahidi dhidi ya Tundu Lissu kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili wawe wa kificho ni nini? Hao mashahidi hawatajulikana milele?
  7. Waufukweni

    Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika

    Kesi ya uhaini Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Alhamisi Februari 12.2026 kama ilivyo ada mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru. Jana (Jumatano, Februari 11.2026)...
  8. Waufukweni

    PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

    Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
  9. Mafyangula

    Mawakili zaidi ya 13 wafungua kesi kupinga mashahidi wa siri, wakidai inaleta changamoto za haki na uwazi

    Kundi la mawakili zaidi ya 13 wakiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, wamemwakilisha Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe katika kesi ya kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Mkurugenzi wa Mashitaka ya Umma (DPP), wakipinga uhalali wa sheria ya ulinzi wa...
  10. Mto wa mbu

    Polepole kuleta mashahidi wa Siri, ni kuthibitisha kikundi kinachoteka watu-Tanzania

    Ukweli mchungu CCM na Samia wanaumia mno yaani mnoo juu ya madai yanayoibuliwa na Hamphley Polepole. Machawa wanataka kutuaminisha kuwa Polepole kapuuzwa,ila ukweli Serikali inatamani imdake ata Leo. Jana Polepole katoa madai kuwa Mtoto wa Rais ,bwana Abdul, ana genge la kuteka watu, na...
  11. Ubaya Ubwela

    GE2025 Martin: Kesi ya Lissu imehamishiwa ukumbi mdogo unaoingiza watu 60 na nafasi zimejazwa na watu tusiowafahamu

    Toka kwa martin maranja masese (X) "Leo utaratibu umebadilika Mahakama Kuu katika siku ya pili ya kesi ya uhaini Jamhuri Vs. Tundu A.M Lissu. Tofauti na jana ilivyokuwa, kesi imehamishwa kutoka ukumbi Na. 1 ambao ni ukumbi mkubwa na na kupelekwa ukumbi Na. 2 ambao unaingiza watu 60...
Back
Top Bottom