mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  2. Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
  3. Ally Kamwe arudishwa kwenye nafasi yake kama kawaida

    Post aliyoweka jana akiaga mashabiki kaifuta kwenye ukurasa wake, je ni kweli kaondoka tena au ni kiki tu za michezo ila alikuwa amemaliza mkataba wake na hivyo kuongezewa mkataba mwingine? Zaidi soma: Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani ==== Rais wa Yanga Eng. Hersi...
  4. Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

    huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara : mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka. umejawa sifa za kipumbavu na...
  5. Mashabiki njaa acheni ujinga

    Hao mashabiki huibuka muda wowote pale wanapotupiwa jero ya maji na wanatesa mjini kwa sababu ya ujinga wa wajinga hao. Hao wajinga utawakuta msimbazi ila kwa wingi wao wapo pale jangwani. Wamejaa ujinga mtupu, kwa sasa wako na ujinga wa kijinga kukomalia kuchamba neno Sanda lililopo kwenye...
  6. D

    yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  7. Mashabiki wa yanga humu jf hawajui utani wa jadi ni nini wanaomba nipigwe ban na wanatukana

    Habari ndugu zangu Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
  8. Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  9. Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  10. Wasemaji wa Simba na Yanga endeleeni kuwagawa mashabiki wenu, mnachokitafuta mtakipata

    Jana pale uwanja wa Mkapa mmefanya Mambo ambayo ni dhahiri hata nafsi zenu zinawasuta. Nyie ni Watanzania na mna Uhuru wa kuamini au kuabudu chochote. Mna dini zenu lakini pia mna itikadi zenu. Lakini kitendo cha kufuata itikadi mnayohusudu huku mkihusisha taasisi za soka ambazo nyie ni...
  11. Kumi (10) Bora ya Mashabiki Maarufu, Vichaa na wenye mapenzi zaidi na timu zao Tanzania.

    Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake. 9.Aggy Simba Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
  12. A

    Jinsi Mashabiki wa Simba tunavyosubiri kwa hamu 'Thank You' ya Murtazah Mangungu

    Kipindi hiki cha usajili ndio kipindi pekee ambacho wana Simba tunapataga furaha ya moyo. Jamaa alituletea Manzoki, tukalipuka kwa furaha ukumbini, tukampa kura kwa kishindo, leo hatumtaki lakini bado amekalia kiti. Ewe shabiki mwenzangu wa Simba unaisubiri Thank You ya Boss wetu Mangungu...
  13. Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

    "Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu." "Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)" "Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki...
  14. Tatizo pale Simba SC ni mashabiki

    Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa. Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo. Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote. Leo wanasema Yanga...
  15. Mangungu Simba sc hapamfai,Na Mashabiki Hawamuhitaji Mangungu.

    UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini 1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama Jana tumemsikia wazi wazi akikana Tawi hadharani kwa sababu ya tofauti zake na mtu Mmoja unadhani lile tawi la VIP A ambalo...
  16. Ajira- mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki anahitajika klabu ya Simba

    Kazi kwenu
  17. Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake ndani ya Yanga

    Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
  18. Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

    Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja" ©️ Simba Sports Club official page
  19. Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  20. C

    Kipi bora kwa mashabiki wa Simba

    Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…