Ili kuipa morali timu yetu kwenye mechi ya kesho dhidi ya FAR RABAT kwa heshima na taadhima tunamuomba tajiri mwekezaji atimize maombi tajwa hapo juu.
Umuhimu wa kulipiwa nauli na viingilio
Sisi Yanga tumeshazoea bure hilo halina mjadala.
Umuhimu wa mafuta ya nazi
Haya ukijipaka usoni huwa...
Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali.
Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
Clips zinasambaa mtandaoni;
Mashabiki wa yanga mamia kwa maelfu wanapost video wakichoma Jezi za yanga naba do kuna wengine wanachoma bila kupost na wengine hawachomi ila wameshaikataa yanga.
Engineer Hersi kama Rais wa Yanga inabidi sasa Ujiuzulu.Sidhani kama klabu ya Yanga itaichangia...
Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni.
Mimi nawaambia mashabiki wa yanga waache kuchukia kinyesi cha binadamu huku wakifurahia kula funza...
Tumesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya mashabiki kutaka kumchafua na kumlazimisha Mh. Mangungu, Mtu wa maana kabisa! Mtanzania mwenzetu aliyepata nafasi yake kihalali kabisa, Mtu wa watu, Mtu makini, Bila yeye leo hii Ligi yetu ingepata wapi burdani saaafi kutoka kwa SGR Budo sanchez...
Ningependa sana kujua kama huu umati ambao ulisimamisha uwanja wa ndege na Da es Salaam ulipewa kibali cha maandamano na polisi. Na je, Polisi walifanya intelijensia kujiridhisha kwamba wanachama wa Simba labda wasingefanya vurugu?
Nimetafakari juu ya hili kwa sababu Chadema au ACT Wazalendo...
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Habari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
Kama zilivyokuwa sababu za kuahirisha mchezo tarehe 8, Ndivyo itakavyokuwa tarehe 15, Licha ya Yanga kusema "HATUCHEZI" lakini pia tutafanya vurugu kwa yeyote atakayeleta timu uwanjani. Mabaunsa pia watakuwepo kabla ya tarehe hiyo kuzuia na kuikabili timu yoyote itakayoleta pua uwanjani.
Je...
Leo kulikuwa na kikao pale Benjamin Mkapa, walianza kuitwa viongozi wa Yanga wakaongea yao na baadae wakaitwa Simba wakaongea yao, wote waliitwa kwa nyakati tofauti.
Naipongeza sana serikali kwa jitihada za kuleta amani katika mpira wetu, Kabudi ni msomi wa sheria, alikuwa anafanya dispute...
Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga SC wamekusanyika nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakisubiri maamuzi ya kikao kati ya viongozi wao na mamlaka za mpira kuhusu hatma ya mechi ya Kariakoo Derby, ambayo iliahirishwa Machi 8.
Mashabiki hao wameendelea kusisitiza msimamo wao kuwa...
benjamin mkapa
derby
hatma
kariakoo
kariakoo derby
kikao
kucheza
mashabikimashabikiwayanga
mkapa
nje
nje ya uwanja
uwanja
uwanja wa benjamin mkapa
wagoma
yanga
Hapo vip!
Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele.
Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.
Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.
Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya...
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
Hili ni onyo dhidi ya TFF na bodi ya League.
Tunajua mnambembeleza Eng. Hersi akubali mechi nyingine ambayo hadi sasa mmeshindwa kutoa kauli tokana na tempo ya watu kuwa juu Kwa uhuni mliofanya.
Usiku huu viongozi wetu wametoa msimamo na ni kweli hakuna Derby ya ligi kuu tena kwa msimu huu...
Mashabiki wa hizi timu 2 kwa madhila na dharau walizofanyiwa km wana akili kweli basi waache kuzishabikia kuna timu nyingi ligi kuu tuanzie na zile zilizo kwenye mikoa yetu wakipigwa na njaa watashika adabu.
Ukishaona timu wanaCCM wamo humo kuanzia mwenyekiti wao hapo hakuna raha ni kutumiwa km...
Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Tazama video hii ya tukio husika
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
dabi ya kariakoo
hongera
jana
janja janja
kesho
klabu ya simba
kufanya
kufanya mazoezi
mashabikimashabikiwayanga
mazoezi
simba
timu
yangayanga na simba
zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.