Unguja. Timu ya Kwahani FC imetwaa ubingwa wa Masauni Cup baada ya kuichapa Mwembeladu FC kwa changamoto ya mikwaju ya penati 1-0 baada ya sare ya bao 1-1 katika muda wa kawaida na kujinyakulia kombe pamoja na kitita cha shilingi milioni tano.
Kwahani FC ndio walitangulia kupata bao katika muda...
Mwanza. Serikali ipo mbioni kuanzisha Mpango wa Mageuzi ya Kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na kusafisha Mazingira ambao programu zake zitasambaa nchi nzima ikiwa moja ya njia ya kuhifadhi na utunzaji wa Mazingira.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad...
Dar es Salaam. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa maagizo matano kwa Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kilichopo Morogoro mara baada ya kuizindua bodi hiyo.
Waziri Masauni ametoa maagizo hayo leo Machi 6, 2026...
Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni...
Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi na kuutetea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuendeleza amani, umoja na mshikamano wa Taifa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii.
Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030.
Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway.
Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
Habar wakuu.
Kuna kitu kinaendelea nchini ambacho kimsingi sio kizuri.
Utekaji unaendelea kama kawaida .
Nauliza tatizo ni uislam wa Masauni au ni Ukristo wa Bashungwa?
Mbona hatusikii kwamba Bashungwa hafai kama ambavyo mitaa ilivyojaa kelele kwamba Hamad Masauni hafai?
BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Innocent Bashungwa, amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo tarehe 13 Disemba, 2024 jijini Dodoma.
Makabidhiano hayo yamefanyika...
Wakuu,
Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.
Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa...
Waziri Masauni yupo yupo tu.
Wizara ya Mambo ya Ndani ndio kaondolewa.
Alikuwa kimya mno, Wazanzibari wanasema kila sakata analionea muhali tu.
Utekaji umekithiri lakini alikuwepo tu.
Sasa hata TRA wanataka kuanza kuteka, usiku usiku.
Huko Iringa Polisi na Magereza wanakabana koo.
Wizara mama...
Bwana Masauni napenda kutoa maoni yangu juu ya kauli yako inayohimiza nyumba za ibada kuhamasisha amani. Lengo langu ni kuomba ufafanuzi wa tafsiri yako ya neno amani na jinsi inavyopaswa kufikiwa katika mazingira halisi ya taifa letu.
Je, unapotaja amani, una maanisha watu wakae kimya pale...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa Polisi Mjini Magharibi komesha kero ya wizi katika Shehia ya Kikwajuni Bondeni. Mhandisi Masauni ameyasema hayo mapema jana, Oktoba 28, 2024, wakati akihitimisha ziara yake ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao ikiwa ni mwendelezo jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Jeshi la Magereza lazima likubaliane na maboresho ya kimfumo, kimuundo na kitaasisi ambayo yatakwenda kuongeza uwezo wa uzalishaji mazao ya kilimo kwa magereza ya uzalishaji mali nchini.
Waziri Masauni ameyasema hayo tarehe 29...
Mheshimiwa Hamad Yusuph Masauni, waziri wa mambo ya ndani, ujumbe wangu kwako leo ni mfupi tu. Huwenda usikuchukue hata dakika 5 kuusoma kwasababu siku hizi hata simu zangu hushiki tena.
Huwenda umesahau Wacha nikukumbushe, wizara unayoongoza ndiyo wizara iliyo na mawaziri wengi zaidi katika...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia.
Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu wawajibishwe.
Yaani Waziri yule Mzanzibari Masauni na mkuu wa Polisi IGP Wambura.
Katika uwajibikaji, hata wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.