martha karua

Martha Wangari Karua (; born 1957) is a Kenyan politician and an advocate of social justice. She is currently the running mate for Azimio candidate Raila Odinga for kenyas' presidential elections set for August this year. She is a former long-standing member of parliament for Gichugu Constituency and an Advocate of the High Court of Kenya. She was Minister for Justice until resigning from that position in April 2009. Karua has consistently fought for the protection of women's rights and improvements to the democratic process.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Martha Karua: Sheria ya Tanzania inaruhusu Maandamano, Samia aache utawala wa kimabavu

    Mwanasiasa na mwanaharakati nchini Kenya, Martha Karua amezungumzia kuhusiana na sheria ya Tanzania kuweka uhalali wa Maandamanohivyo kwa wananchi wanaopanga kuandamana wana haki, pia amesisitiza Serikali isiingilie maamuzi ya wananchi "sheria za tanzania zinawaruhu raia kufanya maandamano, na...
  2. McLaren

    GE2025 Martha Karua: Kinachotokea nchini Tanzania si Uchaguzi bali ni kutawazwa kwa Rais Samia

    Wakuu, Kuna ujumbe hapa kutoka kwa Martha Karua kuhusu Uchaguzi unaofanyika leo Tanzania. Martha anasema leo kinaachofanyika ni Coronation na si Uchaguzi bali ni Uchafuzi "Kinachotokea kesho nchini Tanzania si uchaguzi bali ni kutawazwa. Rais Samia anajiwekea taji akitangaza kuwa yeye ndiye...
  3. R

    Martha Karua Kugombea Urais 2027, asema ataongoza kwa Muhula mmoja tu

    Viongozi wakuu wa upinzani wameapa kusimama imara na kushikamana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, wakiahidi kusimamisha mgombea mmoja atakayekabiliana na Rais William Ruto Wakiongozwa na kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, na wakishirikiana na Naibu Kiongozi wa DCP Rigathi...
  4. S

    Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi, watakuja kufafanua vifungu vya sheria ya uhaini vinavyotaka kutumika kumtia hatiani Tundu Lissu?

    Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili: Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi)...
  5. Mindyou

    PreGE2025 Jaji Mkuu Mstaafu Mutunga, Martha Karua na wenzake 4 waiburuza Serikali ya Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki. Wataka fidia na msamaha

    Wakuu, Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje. Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani. ================================ Martha Karua na wanaharakati wengine wanne wameiburuza na kuishtaki Serikali ya Tanzania...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Seneta Nairobi amtaka Ruto aachane na msamaha wa kinafiki, achukue hatua kali dhidi ya Tanzania

    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya...
  7. W

    PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo awashangaa wabunge wanaomshambulia Martha Karua

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na Uganda kuhamasisha matumizi ya nguvu za dola dhidi yao. Akitolea mfano wa Mbunge wa Pandani Ndugu...
  8. Carlos The Jackal

    Wanafanana Elimu zao, Mbunge Mariam aliyeshauri Jeshi la Polisi Limpe kipigo Martha Karua apumulie Oksijeni ,naye Kaisha Form Four ya kuunga unga

    Mimi Huwa nasema humu Kila siku, UWEZO DOGO WA MTU WA AKILI ( UJINGA) HUENDA SAWA NA UKATILI, ROHO MBAYA, UPAYUKAJI NA KILA UOVU Nyinyi hamjiulizi kwann Makazini, watu wajinga, ni wapiga majungu? Wanaenda sana Kwa waganga? Wafitini? Wako tayari kufanya lolote kubakia kwenye nafasi??. Mnadhan...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Manyanya: Martha Karua ukichezea mamlaka tunakushughulikia, ukigusa kipande cha ardhi tunakushughulikia. Ukome!

    Martha Karua umetuagusha wanawake tunaolilia kupata nafasi nyingi za uongozi. Wewe unadandanywa na wanaume unaenda kufanya vitu visivyostaili ujatuheshimisha kama wanawake. Umesahau kwamba Rais Samia ndiye alienda kumtembelea Tundu Lissu akiwa Hospitali huko Kenya, hata alipokimbia kwenda kule...
  10. Lady Whistledown

    PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

    "Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na...
  11. W

    PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

    Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya === Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea. "Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
  12. W

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tarime ataka Martha Karua apitishwe Sirari ili wampe mimba sababu wanaume wa Kenya wameshindwa kazi

    Wakuu naona udhalilishaji na kejeli dhidi ya Martha Karua unazidi kuendelea. Kada mmoja wa CCM huko Mara ameomba wakati mwingine Martha Karua akienda kuomba kibali cha kuja Tanzania ubalozini basi apitishwe Sirari ili wampe mimba kwa kuwa Wakenya wameshindwa. Hivi hii ndiyo mmeona njia ya ku...
  13. W

    PreGE2025 Wasomi wasema hawamtaki Martha Karua nchini ataleta machafuko

    Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile === Katika Kongamano la wanavyuo mkoa wa Dar es Salaam wameungana na kudai Wakili kutoka Kenya Martha...
  14. W

    PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  15. G Jonathan Kamenge

    Martha Karua na Falsafa ya Wagombanapo ndugu!

    Adabu. Niruhusuni mimi nitumie neno "kiasi" kuelezea utovu wa adabu na ukosefu wa nidhamu wa kuingilia mambo ya kifamilia ya familia nyingine na kudai hiyo ni "haki". Kuna tofauti kati ya upumbavu na hekima na yaonekana baadhi yetu somo hili bado ni gumu kwetu. Moja ya tabia za wakoloni wa babu...
  16. MamaSamia2025

    Martha Karua na wenzake wakawaulize makaburu kuhusu balaa la vyombo vya dola vya Tanzania kabla hawajajilaumu mbeleni

    Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa...
  17. chiembe

    Mudavadi: Tanzania iko sahihi kulinda Utaifa wake, Jumuiya ya Afrika Mashariki siyo Taifa ni Mwamvuli tu

    Naona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi. Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania --- MKUU wa Mawaziri, Musalia Mudavadi ametetea matamshi ya Rais wa...
  18. MamaSamia2025

    Huwezi kuzungumzia machafuko ya mwaka 2007 - 2008 baada ya uchaguzi Kenya bila kumtaja Martha Karua

    Ni kwa nia njema ya kuwajulisha wasiomjua Martha Karua hasa upande wake wa uovu. Mwaka 2007 hadi mwanzoni mwa 2008 kulitokea machafuko ya baada ya uchaguzi yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 1500, ubakaji wa zaidi ya wanawake 3000 huku watu zaidi ya 300,000 wakipoteza makazi yao. Ulikuwa ni...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla ampasua Martha Karua: 'Tanzania Ni Taifa Huru Lenye Dola Imara

    Katika kile kinachoonekana 'kukazia' kauli iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya Tanzania, Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha Karua kuzuiwa kuingia Tanzania

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye hili sakata la Tanzania na Kenya. Yaani inaonekana kuwa Serikali ya Kenya ime-align na serikali ya Tanzania kwenye hili suala la CHADEMA na Martha Karua. Yaani hizi serikali za kiafrika zinafanana wakuu...
Back
Top Bottom