marekani na tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Programu ya Mageuzi ya Mazingira Kuzinduliwa Juni 5, 2026

    Arusha. Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Mageuzi ya Kimkakati ya Mazingira Endelevu Tanzania katika kilele cha Siku ya Mazingira Duniani (WED) ambapo kitaifa itafanyika jijini Dodoma, Juni 5, 2026. Akizungumza katika uzinduzi wa usafi wa Mazingira kuelekea...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

    Muswada mpya wa vyama vyote viwili (bipartisan) unalenga kuielekeza serikali ya Rais Donald Trump kufanya mageuzi makubwa katika uhusiano wa Marekani na Tanzania, kufuatia msako wa kikatili uliotokea nchini humo baada ya uchaguzi mkuu uliopita uliogubikwa na utata. Muswada huo uliowasilishwa na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ni watu wanafiki sana. Kwa silaha zao wameua na kumwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia kule Iran halafu wanajifanya kuhubiri haki

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi kama Taifa hakuna kitu ambacho Mmarekani anaweza kutufundisha ama kutuelekeza juu ya demokrasia ama haki za Binadamu. Hakuna anachoweza kutufundisha katika Jambo hilo. Hakuna anachoweza kutuambia tuige kutoka kwake. Mmarekani ama Marekani ndio Taifa linaloongoza...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Seneta Ted Cruz wa Marekani: Serikali ya Tanzania ilizuia mikusanyiko ya Wakristo. Uchaguzi wao ulijaa na utekaji

    Huyu ni Senator Ted Cruz kutoka Marekani anazungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge la Marekani kuhusu uteuzi wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman. Senator Cruz anasema kuwa serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya mashambulizi dhidi ya uhuru wa dini, hasa kuwatishia Wakristo...
Back
Top Bottom