marekani na israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Angalia majibu ya kura za maoni nchini Israel, kuhusu vita ya Marekani na Israel dhidi ya Iran pekee yake

    Niaje waungwana Ule msemo wa wahenga wa zamani kwamba kila "kwenye UKWELI, UONGO hujitenga" pembeni, umeanza kufanya Kazi vizuri nchini Israel, ambapo kura za maoni zilizofanywa na raia wa nchi hiyo zinaonesha kwamba Iran ilishinda vita yao kwa 92%. Hawa waliohusika na mchakato huu wa kura ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

    Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa. Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Iran wamebana kotekote. Mbinu za Marekani na Israel zimegonga mwamba

    Majuzi viwanja vyote vya ndege vya Kuwait vimepigwa makombora Hii ni baada ya base zilitumika kuchakazwa na makombora, Baada ya hapo wakaja na ndege za kujaza mafuta angani nazo zikashushwa kwa sasa wakajifanya kutumia civilian airport nazo hapo majuzi kule Kuwait nazo zimepondwapondwa. Kwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hakuwepo jambo la kifahari na ni aibu kubwa kwa mataifa makubwa ya Marekani na Israel kumuua kiongozi mkuu wa kidini wa Iran akiwa na miaka 86

    Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa. Uamuzi wa kumuua katika umri huo haukuwa ushujaa bali ni ukatili na aibu kubwa kwa majeshi yenye nguvu kama...
  5. JamiiForums Tanzania Iran: Tutajibu uhalifu wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani

    Wanaukumbi. Hivi karibuni tutajibu wizi wa kijeshi wa baharini unaofanywa na Marekani Marekani, kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano na kushiriki katika uharamia wa baharini, ilifyatua risasi kwenye moja ya meli za kibiashara za Iran katika maji ya Bahari ya Oman, ikazima mfumo wake...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha ujasusi cha Marekani kimesema kwamba maandalizi yanafanywa ili kurudi vitani na Iran ikiwa hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

    KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL Tatizo kubwa la Marekani ni kibri. Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo. Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi. Halikadhalika...
  8. JamiiForums Tanzania Siku Ya kwanza Iran waliposhambuliwa na Marekani na Israel, waliandika hivi

  9. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Kujikwaa Kwa Marekani na Israel

    https://youtu.be/PdXjNx7rleo?si=9vAls46PFIyAfj_Y
  10. JamiiForums Tanzania Watoto 208 wauawa Iran kwa mashambulizi ya Marekani na Israel

    (CHANZO CHA PICHA, REUTERS) Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208. Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
  11. JamiiForums Tanzania Vipi Iran Itashinda Vita Dhidi ya Marekani na Israel? Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/zHhj_gxjcY8 Operation Rooster 53 was a bold Israeli special forces mission on December 26–27, 1969, during the War of Attrition, where commandos stole an advanced Soviet-made P-12 radar system from Ras Ghareb, Egypt. Using CH-53 helicopters, they airlifted the 7-ton radar to...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuitwa mwanaume, si lazima upigane vita na Marekani na Israel

    Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo meza kibao za mazungumzo ili tu tubaki kwenye uanaume wetu! Inatosha kuwa mwanaume hata...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro 3. Khamenei Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  17. JamiiForums Tanzania Nimekaa na Popcorn hapa mpaka zimeisha nimeagiza korosho , Marekani na Israel wanavizia mtu asinzie kama Maduro

    Kila wakipiga jicho wanaona Muiran amekodoa macho akisubiri apate sababu ya kuingamiza Israel ukweli ni kwamba hata wao Marekani wanafikiria je ikitokea moja ya meli zao kuzamishwa je aibu hii wataificha wapi Kila Nchi imekataa kutumika anga lake kuwa kama kificho ,wamezoea mtindo wao wa...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel kuishambulia Iran punde

    Urusi imeionya Iran kuwa hivi punde itashambuliwa na marekani na Israel Wakati huohuo China,urusi na Korea kaskazini zimekua zikipeleka silaha nyingi Iran Rada ya kufuatilia nyendo za ndege zilibaini safari lukuki za ndege kubwa za mizigo zikitua na kuondoka Iran takriban kwa muda wa mwezi sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Iran kuacha kutumia GPS na teknolojia nyingine hatarishi zinazomilikiwa na Marekani na Israel

    Katika tathmini ya vita vya siku 12 kati yake dhidi ya Israel na Marekani,Iran imeamua kuachana na matumizi ya teknolojia ya GPS nyengine kadhaa ambazo imegundua zilichangia kuuliwa kwa makamanda wake wa kijeshi na wataalamu wa nyuklia. Badala yake Iran imeamua kugeukia teknolojia aina hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe kilogram zote 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa na Iran kwa asilimia 60 ziliyeyushwa na mabomu ya Marekani na Israel

    Imeweza kuthibitishwa sasa kwamba yale mabomu ya Marekani na Israel yaliweza kuyeyusha kabisa kilogram 400 za uranium zilizokuwa zimerutubishwa kwa asilimia 60 na Iran. Vyanzo vya kuaminika ndani ya nchi hiyo vimetoa taarifa ya siri kwa jarida la New York kuwa baada ya uchunguzi wa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…