marekani na iran

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Serikali na Lissu ni kama vita vya Marekani na Iran

    Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli. Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji, kwanini Iran hapigi ndani ya Marekani, Bali anapiga nchi jirani yake?

    Swali hilo limekua likulizwa na baadhi ya watu,hususan pro Marekani. Kwamba Iran ni dhaifu,kama sio dhaifu kwa Nini haipigi ndani ya Marekani moja kwa moja kama vile Marekani Inavyopiga ndani ya Iran moja kwa moja.? Kwamba kama Marekani anaipiga Iran,kwa nini Iran isiipige Marekani nchini kwake...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

    Wanaukumbi. 🇺🇸🇮🇷 Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria. Mambo muhimu ya makubaliano hayo ni pamoja na: ✅ Kukomeshwa kwa shughuli za kijeshi katika nyanja zote ✅ Kufunguliwa tena mara moja kwa Mlango-Bahari wa Hormuz ✅ Kuondolewa kwa kizuizi cha Marekani ✅ Iran...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga boti za Iran zilizotaka kuzuia meli kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Iran Yasema Watu 5 Wamekufa

    Baada ya tangazo la Trump kuwa Marekani inaufungua mlango wa Hormuz kwa nguvu na kuwa itazilinda meli zitakazopita, meli za Marekani zimekuwa zikipita bila kizuizi, huku meli za mataifa mengine zikihofia kupita. Jana Jumatatu, tarehe 5 May 2026, wakati meli za Marekani zikipita kwenye mkondo...
  5. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa katika nguvu ya dunia: BRICS sasa inavutia jumuiya ya kiarabu

    Wanaukumbi. 🚨 MABADILIKO MAKUBWA KATIKA NGUVU YA DUNIA: BRICS sasa inaivutia Jumuiya ya Kiarabu Balozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu nchini Urusi, Walid Hamid Shiltag, anasema BRICS inaonekana kuvutia sana mataifa ya Kiarabu kwa sababu imejengwa juu ya sheria halisi ya kimataifa na heshima ya...
  6. JamiiForums Tanzania Israel haikushiririkishwa katika makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran, hadi kufikia hatua za mwisho

    kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel === Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

    Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati. Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi umejaribu kuwaza juu ya athari zinazoweza kusababishwa na hivi vita vya Israel, Marekani na Iran?

    Hivi Umejaribu Kuwaza Juu ya Athari Zinazoweza Kusababishwa na Hivi Vita vya Israel, Marekani na Iran? 1. Kupanda kwa Bei ya Mafuta Duniani. Mzozo katika eneo la Mashariki ya Kati unaibua hofu kuhusu usalama wa usambazaji wa mafuta duniani. Eneo hili lina umuhimu mkubwa wa kimkakati, hasa...
  9. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Marekani na Iran watafanya mazungumzo wiki ijayo wakati mpango wa usitishaji vita ukiendelea, asema Trump

    Maafisa wa Marekani na Iran watafanya mazungumzo wiki ijayo wakati mpango wa usitishaji vita ukiendelea, asema Trump. Rais Donald Trump siku ya Jumatano alisisitiza kwamba mashambulizi ya Marekani yalisababisha "kufutwa kabisa" kwa maeneo ya nyuklia ya Iran na "kumaliza vita" kati ya Israel na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…