Uvamizi wa Jeshi la Marekani nchini Venezuela na kutekwa kwa Rais wa Nchi hiyo umetoka masaa matano tu tangu Rais Maduro akutane na maafisa kutoka China.
Katika masula ya siasa za kikanda na kimataifa huu ni Ujumbe mzito kuwa sio China wala Urusi ambaye anaweza akakulinda dhidi ya Marekani na...
Marekani imetangaza makubaliano ya awali na China kuhusu kutatua mgogoro wa TikTok, ambapo yamependekeza kwamba umiliki wa programu/Mtandao huo inayomilikiwa na Wachina upewe kampuni zitakazodhibitiwa na Marekani
Waziri wa Fedha wa Marekani, Scott Bessent, alitangaza makubaliano hayo baada ya...
Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya Jumapili.
Hata hivyo, haijawa wazi mara moja kama makubaliano hayo yamefikiwa rasmi.
Waziri wa Fedha...
Baada ya Trump kupandisha ushuru kwa bidhaa za mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China sasa Wamarekani wameanza kujionea kupanda kwa gharama za bidhaa.
Amazon moja ya wauzaji wakubwa wa bidhaa za kutoka China wamekuja na hii idea ili wajisafishe mbele ya wateja wao wasionekane wabaya lakini...
UZI: Vita ya Kiuchumi ya Marekani na China 2025 – Na Afrika Ndio Inalipia Gharama Kwa Machozi
1. Mwaka 2025, si vita vya risasi—ni vita vya sarafu, teknolojia, na nishati. Na sasa moto wake unafika Afrika.
Marekani na China wameingia vitani kiuchumi. Ushuru wa juu, vizuizi vya teknolojia, na...
Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu.
China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi kieleweke.
Kinachowapa kiburi china ni kuwa wana gharama ndogo za utengenezaji wa baadhi ya bidhaa...
Bei za mafuta zilipanda Jumatano, zikirejea kutoka viwango vya chini vya miaka minne vilivyoshuhudiwa mapema katika kipindi hicho, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kuwa atazidisha tena ushuru dhidi ya China lakini atasitisha ongezeko la ushuru alilotangaza wiki iliyopita kwa nchi...
Wakuu,
Nimekutana na uzi huu International Forum, unaodai wafanyakazi wa marekani wakifanya kazi katika viwanda vilivyorejeshwa baada ya Tarrifs za Rais Trump.
Je kuna ukweli gani? Video ni ya kweli? Pia, je, ni kweli kazi hizo zinazoonekana videoni zimerejeshwa kama effects za Tarrifs?
Saidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.