marekani kusitisha misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Serikali yatoa tamko: Miradi ya Maendeleo itaendelea hata baada ya Marekani kusitisha misaada

    Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
  2. McLaren

    Picha: Nimeandaa barua kuiomba Marekani kuiruhusu Tanzania tuwe 51st state na jimbo jipya la nchi hiyo! Naombeni maboresho

    Wakuu, Najua kuna wajamaa na pro socialist wengu humu lakini naombeni mnisikilize kwanza. Kutokana na mambo yanayoendelea nchini, naona kama tumeshindwa kujiongoza. Watu wanatekwa, Ufisadi umekithiri na maendeleo yanayoletwa na chama fulani yako kwa spidi ya 2G. Nadhani ni muda sahihi kwa...
  3. Mindyou

    Jaji azuia uamuzi wa Trump na Elon kuifunga USAID. Asema uamuzi huo ni kinyume cha Katiba ya Marekani

    Jaji Theodore Chuang wa nchini Marekani ameuzuia utawala wa Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuchukua hatua zozote za kulifunga Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ambapo amesema taratibu za kulifunga Shirika hilo huenda zilikiuka Katiba ya Marekani. Akitoa uamuzi wake Jumanne March 18,2025...
  4. Pfizer

    Mkurugenzi wa MSD: Tanzania ina ARVs za kutosha, tumeshafanya maandalizi

    https://www.youtube.com/watch?v=Wok58GcHwLs Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika. Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa...
  5. Mindyou

    WHO: Marekani kusitisha kugawa ARVs bure, itasababisha vifo vya watu Milioni 3

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya Watu milioni 3 vinavyohusiana na UKIMWI vinaweza kushuhudiwa kufuatia kusitishwa kwa msaada wa kigeni wa Marekani unaosaidia upatikanaji wa dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, ARVs...
  6. S

    Baada ya Marekani kusitisha misaada, Urusi yafyatua Kombora nchini Ukraine katika harakati za kuichukua Kursk

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024. Russia ilifyatua makombora aina ya cruise na makombora ya balistiki kuelekea Ukraine katika shambulio kubwa usiku kucha...
  7. Mateso chakubanga

    Tetesi: Wakati wowote Marekani watamwambia Kagame aondoke madarakani kwa hiari au nguvu itumike

    Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike Hii imejiri baada ya Rais wa RDC ( DRC) Felix Tshisekedi kuomba msaada wa kutuliza machafuko kutoka kwa Rais Donald Trump juzi...
  8. Mindyou

    Baada ya Marekani kusitisha misaada, Uingereza yaihakikishia Tanzania kuendelea kutoa misaada ya kimaendeleo

    Wakati Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump ikikata misaada yake kwa mataifa mengine, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Marianne Young, amesema nchi yake itaendelea kutoa misaada ya kimaendeleo na kibinadamu kama sehemu muhimu ya ushirikiano wa kimataifa. Balozi Young amebainisha...
  9. Mindyou

    Wakenya 40,000 wanatarajiwa kupoteza kazi iwapo shirika la USAID litafutwa na Serikali ya Trump. Mamilioni ya wanaoishi na VVU waathirika

    Wakuu, Sakata la kufutwa kwa shirika la USAID limeendelea kusababisha vilio duniani kote na hii ni baada ya hivi karibuni Wakenya takriban 40,000 kutarajiwa kupoteza kazi zao iwapo shirika hilo lililoanzishwa mwaka 1961 litafungwa Serikali ya Trump hivi karibuni wametangaza kusitisha shughuli...
  10. Lycaon pictus

    Marekani kusitisha misaada kunaweza fanya shilingi yetu iporomoke dhidi ya Dola?

    Inadaiwa tulikuwa tunapewa dola 512milioni kwa mwaka. Je kukatiwa hizo pesa kutafanya shilingi idhoofike dhidi ya dola?
  11. Morning_star

    Tuwe wakweli! Mchina alishawahi kutoa msaada gani kwa nchi za kiafrica zaidi ya kutuuzia vitu vyenye ubora feki!

    Baada ya Trump kusitisha misaada Afrika, kumetokea sintofahamu nyingi zikisema, "Haya sasa, huyo Mchina ajitokeze!" Ukweli ni kwamba Mchina ni mlaghai na mpigaji kuliko hao mabeberu. Angalau, pamoja na kutupiga, wametuwezesha na sisi mdogomdogo kusogea! Nchi zote zilizokopa kwa Mchina na...
Back
Top Bottom