marefa

Marefa (in Arabic: المعرفة, lit. 'knowledge') is a not-for-profit online encyclopedia project that uses the wiki system to provide a free Arabic encyclopedia similar to Wikipedia. It was set up by Nayel Shafei on February 16, 2007. Sister projects include Manuscript documentation, Sources, Collaborative books, forums, Blogsphere, E-mail accounts (with unlimited storage), Video/Audio library.
In September, 2007, Marefa received 25,000 manuscripts and old books, in Arabic script, from the Government of India. These are scanned images of books stored in and around Osmania University, Hyderabad, India. The books are in Arabic, Persian and Ottoman Turkish. Marefa started the electronic publishing of them, immediately, and made them available for free. University of North Carolina (UNC) puts Marefa as one of top eight sources for Arabic Manuscripts, with notable global cultural centers of Arabic heritage, like, Süleymaniye Library, Istanbul, and Azhar University, Cairo. Middle East Librarian Association recommends the Marefa to its members, and its cited Marefa's receipt of 25,000 Arabic and Persian books and manuscripts from the Government of India.

View More On Wikipedia.org
  1. Mashindano yote ya CAF kama Afcon yachezeshwe na marefa toka Ulaya. Afcon should use European referees

    Ili kuwepo na usawa na haki kwenye mpira wa Afrika. Mashindano yote ya CAF (Afcon, Chan, Caf Champions league, Caf Confederation league)yachezeshwe na marefa toka Ulaya kama Uingereza, Italia, Ujerumani. In order to improve African football, All Caf competition (Afcon, Chan, Caf Champions...
  2. Siri imefichuka Marefa wetu kutochezesha mechi za CAF.

    Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF. Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
  3. Hongera TFF na TPLB kwa Hatua ya Kuleta Marefa wa Kimataifa

    Napenda kuipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa uamuzi mzuri na wa kizalendo wa kuwaleta marefa wa kimataifa kusimamia baadhi ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Si nyingine ni kariakoo dabi Hatua hii imeongeza uaminifu, haki uwanjani, na kuimarisha...
  4. Simba wakifungwa kesho utasikia wale Marefa ni mashabiki wa Al-Masry

    Kesho kiwake tu mamake watu wauane. Ila Match ya kesho kwa lolote likitokea Simba lazima wamulaumu Refa na watasema ni shabikiwa al masry
  5. Kombe la dunia la vilabu na marefa wetu wa bongo

    Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao. Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna...
  6. Marefa Tisa Championship wafungiwa baada ya kudai hela zao za misimu mitatu

    "Jana Marefa 9 wa Championship wamefungiwa kuto kuchezesha mashindano yoyote kwa msimu mzima unao fata Kosa kubwa lilo fanya wafungiwe ni kudai stahiki zao na kuwaeleza matatizo yao Waandishi wa habari.. Wengi wa Marefa hao hawajalipwa pesa yoyote kwa zaidi ya msimu mi3 Kikao hicho kili...
  7. Hery Sasii, miongoni mwa marefà bora nchini, kimekupata nini?

    Ukiiongelea ligi ya Tanzania mwaka 2020-2022 hutaacha kuongelea umahiri wa Waamuzi mahiri na wa kutegemewa kipindi hicho wakiongozwa na Hery Sasii. Sasii alikuwa mwamuzi makini na aliyetegemewa katika Mechi ngumu na zenye ushindani. Kila mpenda soka alifurahia uchezeshaji wake. Lakini ghafla...
  8. M

    Tanzania tunatakiwa kuwa na Marefa MAKINI kama yule wa fainali ya Caf - Zanzibar

    Refa yule yupo Makini sana na ni mtu wa haki. Marefa wetu mjifunze
  9. Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  10. Je beki zenu zilizozoea huruma ya Marefa Wa kibongo, zitaweza kumkaba huyu?!!

    Namuonea huruma Che Fondoh na Hamza kudadadakiii Huyu mwamba kufunga Kwake ni jambo la kawaida, Si mlizoea pira papatu papatu la Refa Sasa njooni Morocco Remember the Name Oussama Lamlaoui.
  11. Eliud Mvela: Kuna timu inatembea na marefa wao special

    "Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi au Viongozi wanaosimamia mpira wakianza kuwa biased (kuwa na upendeleo) hili jambo linaendaga taratibu taratibu mwishoni linaanza kujitokeza, unaanza kujulikana una upendeleo" "Mimi nimekuwa nikiangalia sana baadhi ya mechi zinazochezwa, unaona kabisa marefa ni...
  12. Mkakati wa Marefa kuiharibia Simba Sc makusudi ili ionekane inapendelewa

    Wazee wana michezo habari zenu. Bila kupoteza muda niende kwenye hoja,kumekua na maamuzi mengi ya hovyo yanayofanywa na marefa na baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi la timu pinzani pindi simba ikicheza ilimradi kuiharibia simba mwana lunyasi inakera sana. Sisi Simba hatuihitaji busta yenu...
  13. Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  14. Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?

    Hii imekaaje wakuu? Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?
  15. Ali kamwe shujaa WA soka 2025.…soka la KUPANGA matokeo lipingwe hadharan MSIOGOPE kuwambia ukweli..MARUFUKU KUPANGA MECHI NYIE MAREFA TUNAWAONYA

    TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE UKWELI UKO WAZI MECHI ALIZOCHEZA SIMBA ZILITIA AIBU MPAKA WATANZANIA WAKAAMKA NDIPO UKAONA MAREFA...
  16. TFF msiogope kukosolewa, acheni nidhamu ya uwoga, Wasemaji msihofu vitisho, semeni mapungufu ya marefa

    Kuna HABARI Agis habari WA YANGA amefungiwa miaka 2 Kifupi tu huu ni UWOGA na Tff mkumbuke hii n mwanzo tu hakuna watu WAACHA kuwasemea UPUUZI WENU na UPUUXI WA Refa Kama mlifikiri mkimfungia Ali kamwe mnaidhoofisha Yanga mmejichanganya wenyewe hakuna jipya WAsemaji adhabu ya kamwe...
  17. Yanga kuweni makini, baada ya makelele kwa marefa sasa Wasaidizi ndio wanaenda kuharibu mechi yetu. Msijisahau

    BAADA ya MAKELELE kwa marefa na baadhi yao kuanza kuchezesha bila penalty Wala REDcard Sasa kuna plan "B" inakuja dhidi ya tar 8 Refa atachezZesha vizuri sana na hakuna AMBAE atatoka akimlalamkia Kinachokuja mjiandae na WASAIDIZI WAMEJIPANGA na wamepangwa kuwaumiza Na njia Moja wapo n...
  18. BAADA YA MAKELELE TFF /KAMATI YA WAAMUZI KUMBE MNA MAREFA WENYE KUCHEZESHA VIZURI SHIDA ILIKUWA NINI;;;;???

    HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI?? SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5. MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
  19. Kwanini marefa hawahojiwi na waandishi wa habari baada ya mechi kuisha?

    Huwa naonaga baadhi ya wachezaji na makocha wakihojiwa na waandishi baada ya mechi kumalizika ila sijawahi kuona marefa wakihojiwa, ni kwanini?.....
  20. Marefa waheshimu mfungo wasituaribie swaumu chama chenu kiwafundishe maana ya ibada

    Kumekuwa na malalamiko kadhaa kuhusu marefa Hakuna aliemsafi ila KUNA matukio ya AIBU AMBAYO unaweza shangaa limetoka neno baya TUNAOMBA Chama cha marefa wapen somoo maana ya mfungo na jinsi ya kuheshimu wanafunga Else naona wengi wakiharibu swaumu zao kama wataendelea kuangalia hizi mechi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…