marais wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza Marais na viongozi waliopita au wapo kwenye nchi zao waliweka mchango mkubwa na ndio zinamaendeleo makubwa tofauti Afrika

    Fikiria baba wa taifa wa Singapore kitabu chake kilikuwa na maono mpaka leo. Rais wa China mtu kabla ajashika uraisi lakini ana vitabu ambavyo china imefika hapo. Mfalme wa Dubai ana vitabu ambavyo mpaka leo nchi imefika leo. Hapo sija zungumzia ulaya,USA kama wengine .kwa urusi labda...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ipe Maneno: Marais wa Afrika wakiwa wamebanana kwenye viti vya chuma mkutano wa DRC - Rwanda Marekani!

    Wakuu, Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma, hakuna red carpet, hakuna maviti ya kifahari ambayo seti unajenga nyumba😂😂😂, hakuna meza wala maji ya...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Marais wa Afrika wenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya Facebook na X

    Mitandao ya kijamii imekuwa majukwaa muhimu ya mawasiliano na hata kuchangia katika mtindo mpya wa mawasiliano ya moja kwa moja kati ya viongozi wa Afrika na raia wao. Kote barani, Marais na viongozi wakuu wa serikali nao pia wamepata mamilioni ya wafuasi baada ya kuingia kwenye majukwaa ya...
Back
Top Bottom