Mahusiano ni jambo zuri, ila muda mwingine ni tabu tupu mnapo kutana watu wawili wenye mitazamo, hisia, malengo au mienendo tofauti.
Kuna mambo ikitokea mwenza wako kafanya ni ngumu kuya kubali, na ndio mwisho wa mahusiano.
Je ni jambo gani mchumba ako ali fanya ukasema this is it, hakuna cha...
Ndugu.
Kataa ndoa kuna namna kama wameshinda hii vita pamoja na ile vita ya single maza.
Huko duniani kila nikiangaza huku na huko sioni tena pear pear zikiongozana na kwenye maboma huko kusikia mtu ana oa na kuolewa ni mtihani sana.
Wanawake wapo wenyewe wenyewe huku wanaume na wao wapo...
Ndugu zangu naombeni ushauri
Mimi ni baba wa mtoto mmoja na nilioa mke wangu mwaka 2023. Kabla ya kuoa mke wangu alikuwa kwenye mausiano na kijana mmoja ambaye kwa maelezo ya mke wangu kijana huyo ndiye aliyemtoa usichana wake na walikaa kwenye mausiano kitu cha miaka 5 lakini kwa bahati mbaya...
Ni kwa kiasi gani mwanaume afanye ili mwanamke aoene hata inatosha amid dunia ilivyokuwa chungu, haijawahi kutosha kwa mwanamke, anaishi huku akiisemea nafsi yake kuwa kuna "kuna cha ziada zaidi, kuna cha ziada zaidi".
Atleast mama zetu walipata mawazo haya ila walijipiga kofi ili...
Naomba nianze moja kwa moja, tuchukulie mfano wa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukiona unabadilisha sana partners mara kwa mara ndani ya muda mfupi mfupi jipe muda wa kujitathmini wewe mhusika (Holder)
Binadamu kwa hulka yetu huwa tunajiona tuko sahihi wakati wote kiasi cha kutaka wanadamu...
Mapenzi kuvunjika ni sehemu ya kawaida kabisa kwa maisha ya sasa lakini kuna jambo la kuzingatia hapa.
Mapenzi huwa yanauma sana pale ambapo mwenza wako anaondoka anakuacha ghafla ukiwa mpweke kipindi kigumu sana kwako kama vile anakuacha umepauka, unanuka jasho, umefubaa, unavaa nguo zimechakaa...
Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love
Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili
Ni Hilo tu nawafundisha...
Mhadhara - 46:
Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu".
Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu kwasababu ya faida zako basi punguza mbwembwe, la sivyo utakatwa mapanga mchana kweupeee au utupiwe...
Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa kumbe wana miaka 7 kwenye ndoa yao lakini hawana mtoto. Nikimuangalia kaka ana kazi nzuri TRA na...
Wadau Saluti
Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%
Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia...
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika...
Mazoea hayo ni tatizo la akili, au ikifika umri wanaanza hiyo michezo au kimila hio inakaaje?
Kisheria ni kosa ndugu kutoka kimapenzi, ila kesi hizi zinaweza kuwa ni nyingi.
Nilikua nimekaa mahali mida ilikua imekwenda kidogo.
Sasa akaja jamaa akapaki hapo.
Zikapita dakika kumi akatoka mwanamke na mtoto mdogo wa kiume.
Akaingia ndani ya usafiri wa jamaa wakaongea like 30 mins.
Then wakaagana.
Sasa mtu unapata tabu kuona mwanao mida ya wachawi mbaya sana.
Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk.
Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana ukilinganisha Dar yaani umechepukia Kimara Bonyokwa wewe unakaa Buza Kilakala.
Yaani tuliopo mkoani...
Yani wanawake wengine sijui wapoje yani mwanaume anajipinda anakufanyia kitu
Lakini kusema asante tu ni shida.
Hii kitu inapunguza sana morali ya kuwafanyie vitu
Vizuri maana mtu hana shukuraani ya nini umsumbukie?
Na leo sitoi hela ya SIKUKUU sasa jitu zima halina
Shukrani. *****.
1. Amechora tattoos. Red flag.
2. Ametoboa pua red flag.
3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag.
4. Anakunywa pombe red flag.
5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag.
6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag.
7. Ni muumuni wa twerking red flag.
8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag.
9. Round...
1. Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa ufupi ni kwamba usaliti hutoka kwenye wema.
Tafuta mtu muelewa mwenye upeo wakuweza kujua thamani yako...
Don't Marry because of SEX
Don't Marry because u are getting OLD
Don't Marry because u are of AGE
Don't Marry because u are LONELY
Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY
Don't Marry because u got PREGNANT for him
Don't Marry because u don't want to LOSE the PERSON,
Don't...
Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram.
"Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na nimeishi na mtu wangu kwa miaka miwili sasa, tulipima pamoja na tulikua negative 2022, Mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.