manispaa ya temeke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwananchi alia na kuzimia baada ya kubomolewa nyumba yake Mbagala

    Jinsi ilivyokuwa mpaka mwananchi kuzimia mbele ya mbunge baada ya kubomolewa nyumba yake katika manispaa ya Temeke Mbagala -Toangoma Mwananchi anaelezea alivyompigania mwenyekiti wake wa CCM kushinda uchaguzi lakini baadaye haoni utu wake mpaka nyumba yake imebomolewa..video ya tukio...
  2. Msaada wa shule za msingi za serikali za kulipia zilizopo manispaa ya Temeke

    Km tittle inavyojieleza wakuu, naomba majina ya shule za msingi za kulipia zinazopatikana Manispaa ya Tmk! Nawasilisha
  3. GE2025 Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtinika achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania ubunge Temeke

    Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Abdallah Mtinika amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Temeke. Mtinika amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Temeke, Sayi Samba.
  4. PreGE2025 Meya wa Manispaa ya Temeke: Nampa Rais Samia alama A+ kwa anavyoendesha nchi

    Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Mtinika amesema Rais Samia amefanya kazi nzuri kwenye kiwango cha kustahili alama “A+” katika kipindi cha uongozi wake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  5. KERO PreGE2025 LGE2024 Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai

    Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa chini Leo katika semina hiyo kulikuwa na mauza uza baada wa washiriki wa semina kukosa chai...
  6. P

    Viongozi wa manispaa ya Temeke kuweni wabunifu

    Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana Temeke wote. Pili,niipongeze manispaa ya Temeke ya kujenga kituo cha mabasi kwa kata ya Buza .Kwa kweli ni jambo la maana na lakupigiwa makofi...
  7. Waziri Silaa awatia mbaroni matapeli wa ardhi inayomilikiwa na NSSF Tuangoma Manispaa ya Temeke, waliwekewa mtego wa wateja

    Waziri wa Ardhi Jerry Slaa amewatia mbaroni watu watatu wakidaiwa kuwa ni matapeli sugu wa Ardhi Wilayani Temeke ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayo milikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kufanikiwa kujipatia Mamilioni ya fedha. Jerry Silaa amefanikiwa kuwakamata...
  8. S

    DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

    Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha. Unyanyasaji mkubwa Kwa...
  9. DOKEZO Kupata Leseni ya Biashara Manispaa ya Temeke ni Biashara pia ya watu, lazima utoe rushwa ndio upate huduma

    Upatikanaji wa leseni za biashara katika manispaa ya Temeke umekuwa ni biashara kwa waliopewa majukumu hayo. Kumekuwa na utengenezaji mkubwa wa mazingira ya rushwa ambao upo wazi kabisa na bila kutoa rushwa huwezi kupata leseni ya biashara bila kujali ni kuomba kwa mara ya kwanza au kurenew...
  10. Anayejua ilipofikia kesi ya Uhujumu Uchumi iliyomkabili Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke atuambie

    Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa tarehe nyingine. Tangu hapo hatujawahi kusikia tena kama kesi hiyo iliendelea popote , Je na yeye...
  11. Bilioni 4 zimetengwa kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke

    Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE. Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Mjini...
  12. J

    DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

    DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA "Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa" "Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
  13. F

    Ubadhirifu unaochochewa na tamaa kwa watumishi wa umma Manispaa ya Temeke

    Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara. Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
  14. Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

    Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi. Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…