mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Ukiangalia maisha ya le mutuz aliisha vile alivyotaka yeye aliishi kwa kuipa furaha ya moyo wake kwa gharama yeyote Jamaa alikuwa na nyumba nzuri tu Tabata lakini kamwe alikataa kukaa nje ya mji hata mimi ashampoo ni moja ya wadau ambao napenda kukaa Posta Jamaaa alikuwa na marafiki wengi...
  2. Mange Kimambi anaweza kushtakiwa kwa kosa la kuvunja haki za binadamu ikiwemo udhalilishaji

    Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu. Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
  3. Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  4. M

    TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  5. Watendaji wa Mange Kimambi App wapandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
  6. Account za Benki za Mange Kimambi zazuiliwa

    Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram PART 1. Chama changu pendwa, chama bora hakijapata tokea tangu dunia iumbwe. Naomba mnisaidie kwenye hii vita polisi waliyonayo na mimi. Nimeona niwaombe msaada huku kwa social media maana sina namba zenu za kuwapata, otherwise...
  7. App za Mange Kimambi na Yerricko Nyerere zinawezaje kuvuka vikwazo vya google?

    Google wanataka kama una app inayofanya in app purchases, kama kulipia subscription au digital goods zingine basi ni lazima kulipa kulipia kwa google play billing system. Walitoa deadline mwezi wa 9 2021. Hawaruhusu malipo kufanyika nje ya app. Kwenye huu mfumo wao wanakata 30% Huu mfumo siyo...
  8. Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Ofisi za Mange zilizopo Kinondoni jijini Dar zimevamiwa na wafanyakazi wake kukamatwa. Kweli kujipendekeza hakulipi. Niliumia sana kuona anamdhalilisha prof J. Hivyo hii ni furaha kwangu. Prof Jay Mungu aendelee kukupigania. ======== Mange kaandika: Yes, mlichosikia ni kweli kabisa. ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…