mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
  2. JamiiForums Tanzania Mange kanimaindi kunitukana na kuniblock Instagram, nikafurahi

    Huwezi amini nimem win Mange kisaikolojia. Kwenye ile posti yake ya juzi ya BOT kuprint matrillion nilimkera Sana dada wa Taifa. Halafu nikacopy na kupost na kupaste kama mara mia mfululizo. Baada ya dakika kumi amini usiamini dada wa taifa akanijibu na kunitukana JINGA WEWE na kuniblock...
  3. JamiiForums Tanzania Je Mange kimambi anastahili zawadi gani

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa haya anayoyafanya huyu mwana mama anasihili zawadi gani? Hakika anapambana Kutoka kwangu anastahili apate mbigu aketi pamoja na KRISTO YESU, maana anafanya ambacho MWENYEZI MUNGU anataka tukifanye, kuwapambania masikin na kupigania...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kukubali kuongozwa na Mange ni kujiamua kujimaliza kisiasa

    Inasikitisha sana kuona kilichokuwa chama kikuu cha upinzani kujisalimisha mikononi mwa Mange akisaidiwa na Maria. Kwa sasa Heche ni kama rubber stamp ila CHADEMA inaongozwa na Mange akishirikiana na Maria. Watakachokipanga ndo kinafuatwa. Pia Polepole naye ni mtu mwenye nguvu kwa hawa nyumbu...
  5. JamiiForums Tanzania Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

    Lakini October tuka ✔️ Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana, lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa, na unafahamu kwa nini unatulaza njaa. Siri na...
  6. JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  7. JamiiForums Tanzania Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  8. JamiiForums Tanzania Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

    Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi: 1. Kusahau mapema 2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli. 3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ) 4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao. 5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  11. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

    Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa Rachel Dangwa amempiku na amejizolea...
  12. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Msanii Aslay wafikishwa Kortini, wadaiwa fidia Billioni 5

    Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Katika hati ya madai, Mange anatajwa kuwa mkazi wa Los Angeles...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni

    Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni. ( Of course anazo) Nguvu ambayzo angeweza kuzitumia either against Samia's Government or in favour of Samia's Government kipindi hiki cha Uchaguzi. Probably serikali ya CCM ilimfuata kuomba kumtumia, kwa yeye kukaa kimya kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aisapoti " OKTOBA TUNATIKI" eidha kwa kujua ama kutokujua

    Kwenye post yake la Leo kuhusu Makonda amewaasa wananchi wa Arusha kutokumchagua mgombea wa mchongo( Makonda) , ambae wamepewa na CCM na badala yake wamchague mgombea wao wenyewe. Mpaka hapo ni OKTOBA TUNATIKI 2 - 0 NRNE. NRNE haikuwa na uhalisia. Bora Chadema wangeingia ulingoni halafu...
  17. JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaomshabikia Mange Kimambi ilihali wanajua 'No reforms, No election haitafanikiwa'

    Kwanza: Nashangaa kuona watu wanashadadia post za Mange Kimambi huku akilini mwao wakijua kabisa Kamwe slogan ya no reform no election haitakaa ifanikiwe itabaki kwenye page za mange kimambi tu ..huu ni ujinga. Pili. Chadema wanaamini Mange Kimambi ndiye anaye wasukumia agenda zao hii ni anguko...
  18. JamiiForums Tanzania Nampongeza Mange kwa kupiga hela za wasiojitambua ila anawapoteza CHADEMA

    Ni mataahira tu wanaokubali kuwa Mange kaacha kazi yake ovu ya kuharibia watu hadhi zao na kuamua kufanya siasa full time bure. Kimsingi Mange kashajibebea chake na kuwadanganya wehu kuwa anawapigania. Kamwe Mange hawezi taka CCM iondoke madarakani. Ikumbukwe mwaka 2015 alitaka uongozi kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

    Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

    Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…