mange

Mange is a type of skin disease caused by parasitic mites. Because various species of mites also infect plants, birds and reptiles, the term "mange", or colloquially "the mange", suggesting poor condition of the skin and fur due to the infection, is sometimes reserved for pathological mite-infestation of nonhuman mammals. Thus, mange includes mite-associated skin disease in domestic mammals (cats and dogs), in livestock (such as sheep scab), and in wild mammals (for example, foxes, coyotes, cougars, and bears). Since mites belong to the arachnid subclass Acari (also called Acarina), another term for mite infestation is acariasis.
Parasitic mites that cause mange in mammals embed themselves in either skin or hair follicles in the animal, depending upon their genus. Sarcoptes spp. burrow into skin, while Demodex spp. live in follicles.
In humans, these two types of mite infections, which would be known as "mange" in furry mammals, are instead known respectively as scabies and demodicosis.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amewazoesha vibaya sana huu msemo huu wa kijinga CHADEMA na imewakaa kichwani

    Kumekuwa na kasumba kwamba kila jambo linaloonekana kutrending ambalo halitokani na siasa Mange Kimambi amekuwa akisema Serikali ndio wamebuni huo mpango hili ni lakishamba na kijinga na hii kauli ninaiona kwa katibu mkuu wa CHADEMA John Heche akiingilia mambo ya mpira kwamba yanatumika ili...
  2. JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: kuna mpango wa kugawa CHADEMA utakaohusisha viongozi wakubwa wa CHADEMA, unapangwa na kuratibiwa na wanaCCM. Chama kipya?

    Mange kitambi amesema kuna mpango wa kugawa Chadema. Mpango huo utahusisha Freeman Mbowe na Viongozi wengine wakubwa wa Chadema. Pesa za opesheni hiyo itapita kwenye Bank M ambayo itatumika kupitisha fedha hizo. Bank hiyo itatangaza kufilisika kisha watainunua. Kupambana na ccm ni kazi ngumu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

    Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  6. N

    JamiiForums Tanzania Ki-masihala, Mange na wenzake wanaweza kuangusha mbuyu!

    Ukiangalia hali na mwenendo wa siasa za Tanzania, hususani inavyochukuliwa na wenzetu huko ughaibuni, ni wazi viashiria vya mageuzi ya kulazimishwa, vinamea Wanao sababisha viashiria hivyo kumea ni Mange, Maria na wenzao wasio choka kushirikisha taarifa ima hasi ama chanya zihusuzo matukio...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania A word of Appreciation to Shangazi Maria, Dada wa Taifa Mange, Hilda, Liberatus and others

    Vita mnayopigana kwa ajili ya Watanganyika ni kubwa ni Mungu pekee ndiye atakayewalipa wala siyo Ford Foundation. Waliwabeza, waliwanyanyasa, waliwadharau, wametembea dunia nzima hadi kwa Papa, wametumia pesa nyingi lkn nyie mnatumia kalamu, akili na Mungu hongereni sana, tumeanza kuona...
  8. JamiiForums Tanzania Mange awashauri Chadema kuacha kupiga miziki na vibe kwenye mikutano

    Mwana dada na mwanaharakati Mange Kimambi amewaambia Viongozi wa Chadema kuwa wanapotoka kupiga miziki na kucheza wakati wa mikutano Hii haina tija ukizingatia wananchi wana majeraha ya kupoteza wapendwa wao, majeraha, hujuma katika uchaguzi , ufisadi n. K Kucheza mziki ni kuingia kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Nyie pingapinga, kizazi cha Mange Kimambi ni nani kawaroga?

    Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga". Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika mwili. Vijana wengi Wafuasi wa MANGE ni wale wenye elimu kuanzia kidato cha nne mpaka bachelor degree...
  10. JamiiForums Tanzania Nina hasira sana na Mange Kimambi, ameharibu kabisa akili za Watanzania

    Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa. Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy kusubiri post za vuongozi wa serikali mitandaoni waanze kukosoa . Kila kinachohusiana na serikali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mange Kimambi

    BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB Ndugu Mange Kimambi, Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara...
  12. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

    Kaandika huko mtandao wa X.. AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nimependa ujumbe wa Mange Kimambi kwa radical Muslims

    Mastermind wa mauwaji ya waandamanaji wa Iran, Ali Larijani, is dead Justice served!!!!! Wauwaji wa wananchi wanatakiwa kukutana na kifo kama wanachowapa wananchi wao. I’m a Muslim, I’m not a radical Muslim. UAE, Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain hao pia ni Muslims na sio radical Muslims ila...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia kwa Magufuli

    Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa. Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa. Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari...
  15. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa

    Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa. Khamenei anasema mtoto akiingiza miaka 9 ni ruksa kumuingilia kimwili. Nilipopiga yowe la uchungu wa uzazi ni hapo aliposema kuwa hairuhusiwi kuingilia kimwili mtoto wa chini ya miaka 9 ila ni ruhusa kupata raha zingine za...
  16. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: OC-CID wa Arusha (Omary Mahita) alikuwepo na alikuwa anafuatilia live tukio la kutekwa Banjoo

    Mange ameeleza tukio zima la mfanyabiashara kutekwa, ambapo analeza tukio hilo lilifanyika karibu na ofisi za mkuu wa wilaya
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi apinga Trump kuishambulia Iran

    Anapinga Trump kuishambulia Iran: I’m a liberal, have donated to dems since I have been in this country but I’m going to say to you, SHUT THE FvCK UP!!!! . America does not exist in isolation. It is the most powerful nation in the world, and with that power comes responsibility, a...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hii taarifa ni ya The Chanzo? Je, ni kweli Mapenzi ni chanzo kifo cha mtoto wa Mange

  19. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  20. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Mange kimambi hawana akili timamu

    Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi. Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano Kigogo. Kigogo anatumia umbumbu wa Watanzania wengi kutengeneza maudhui ya uongo (uzushi) ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…