manchester city

  1. Waufukweni

    Real Madrid kukutana na Manchester City, huku PSG wapangwa na Chelsea FC hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa. Real Madrid watakutana tena na Manchester City katika hatua ya mtoano kwa msimu wa tano mfululizo, baada ya kupangwa...
  2. Khanji kapoor

    Arsenal atachukua EPL kwa tofauti ya Point moja tu Manchester City

    Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
  3. DuaZaMama

    Manchester City yachezea kichapo cha magoli 2 kwa 1 mbele ya Brighton

    Timu ya ManchesterCity imepoteza mechi ya pili mfululizo katika PremierLeague baada ya kukubali kichapo cha Magoli 2-1 kutoka kwa Brighton, leo Agosti 31, 2025. Mchezo uliopita City ilipoteza kwa 2-0 dhidi ya TottenhamHotspur, hivyo iimesaliwa na pointi 3 katika michezo mitatu ya EPL msimu huu...
  4. DuaZaMama

    Kelvin De Bruyne kujiunga na Napoli kwa mkataba wa miaka 2

    KIUNGO Kevin De Bruyne anajiandaa kujiunga na Napoli kwa dili la mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia makubaliano na mabingwa hao wa Italia. De Bruyne anaachana na Manchester City akiwa mchezaji huru baada ya miamba hiyo ya Ligi Kuu England kuamua kutomuongezea mkataba staa huyo wa...
  5. mdukuzi

    Je wajua timu yako ya Manchester City FC haina uwanja?ule Etihad wameukodi kwa manispaa ya jiji la Manchester

    Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
  6. Waufukweni

    Manchester City 0-2 Liverpool

    Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Manchester City umeifanya Liverpool kuongoza Ligi Kuu ya England "Premier League" kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili (Arsenal) Matokeo hayo pia yanaifanya City chini ya Guardiola kuendelea kubaki nafasi ya Nne ikizidiwa pointi 20 na...
  7. JanguKamaJangu

    Arsenal 5-1 Manchester City

    Goli lililofungwa na Martin Ødegaard dakika ya 2 lilikuwa na baraka ya kuifanya Arsenal kushusha mvua ya Magoli 5-1 dhidi ya Manchester City katika Ligi Kuu ya England "Premier League" kwenye Uwanja wa Emirates Magoli mengine yamewekwa wavuni na Thomas Partey, Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan...
  8. A

    Beki wa Salford city Mtanzania HAJI MNOGA kuanza leo kwenye mechi dhidi ya Manchester city

    Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA. Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku. Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza...
  9. Waufukweni

    King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

    King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
  10. Nehemia Kilave

    Full Time: Manchester City 1 - 2 Manchester United | Ligi kuu uingereza Etihad stadium

    Manchester Derby live msimu 2024/25 , Mpira ushaanza 6' 0-0 14' mount anaumia atolewa nje nafasi yake inachukuliwa na Mainoo 18' 0-0 22' bado 0-0 mpira umebalance 30' 0-0 35' 0-0 man city anapata kona 36' GOOOAL MAN CITY 1-0 MAN UNITED Garvadiol 41' 1-0 HT Manchester City 1-0...
  11. Camilo Cienfuegos

    Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

    Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio siku yao pendwa. Tukutane baada ya dakika 90
  12. Manyanza

    The ultimate bogey side of Manchester City FC

    Pep Guardiola has lost five consecutive games for the first time in his managerial career. 🤯 ◉ First defeat: 2-1 vs. Tottenham ◉ Fifth defeat: 0-4 vs. Tottenham It's also the first time he has lost a Premier League home game by 4+ goals as Man City manager. Most Premier League wins vs. Man...
  13. O

    Mendy asema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wa zamani wa Manchester City

    Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira. Beki huyo wa...
  14. Scared

    Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Wakuu Leo ndio Leo kwangu ikitokea Manchester city kamfunga arsenal navuta milion 50 nakua new milionea in town maombi yenu aisee Wana JamiiForums wenzangu treni langu linaisha Leo lilikua mechi 20 mechi ya Mancity na Arsenal ndio ya mwisho.
  15. Kunguru Mjanja

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
  16. Dalton elijah

    Pep Guardiola has today undergone a routine operation on a back problem

    The Manchester City boss has been suffering with severe back pain for some time lately, and flew out to Barcelona for emergency surgery performed by Dr Mireia Illueca. The surgery was a success, and Pep will now recover and rehabilitate in Barcelona. In his absence, assistant manager Juanma...
  17. JanguKamaJangu

    England: De Bruyne aumia, kuwa nje kwa wiki kadhaa

    Kevin De Bruyne amepata majeraha ya nyama za oaja wakati timu yake ya Manchester City ikishinda magoli 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa kwanza wa Premier League. Kocha wa City, Pep Guardiola amesema madaktari watamfanyia vipimo De Bruyne kujua ukubwa wa tatizo lakini kuna uwezekano atakuwa...
  18. S

    Benjamin Mendy afutiwa mashtaka ya udhalilishaji wa ngono kwa wanawake

    Mahakama imetoa hukumu leo kuhusu kesi ya udhalilishaji wa ngono ambao mchezaji wa zamani wa Manchester City, Benjamin Mendy anahusishwa kufanya na wanawake nchini Uingereza. Mahakama imemkuta Benjamin Mendy kutokuwa na hatia yoyote na hivyo kumuachia huru mchezaji huyu wa Ufaransa. Mchezaji...
  19. Ab-Titchaz

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Full name: Manchester City Football Club Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and Manchester City in 1894 League: Premier League Website: Mancity.com Ground: City of Manchester...
Back
Top Bottom