manchester city

  1. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania KLABU BINGWA ULAYA: Manchester City na Real Madrid zang'ara katika usiku wa Ligi ya Mabingwa

    Michezo miwili itapigwa leo majira ya saa tano usiku kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta akiialika Real Madrid . Kiwango bora walichonacho Manchester City katika mashindano ya ndani kinakwenda kujaribiwa usiku wa leo wakati watakapomenyana na Borussia...
  2. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Pep Guardiola akiwa na Manchester city

    Manchester City imeweka rekodi ya kuwa timu kubwa kutoka England ambayo imeshinda mechi nyingi mfululizo. Ikiwa imeshinda mechi 15 , huku ikifunga magoli 40, na kuruhusu magoli 5, ikiwa na clean sheets 10 chini ya Pep Guardiola. Kocha huyo wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich amefikia...
  3. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Manchester City wafanikiwa kukwepa adhabu ya kufungiwa UEFA

    Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m === Manchester City's hopes of playing in next season's Champions League rest on the outcome of an appeal due to be announced at 9.30am this morning. City were...
  4. Belleringal

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa EPL: Manchester city vs Arsenal

    Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?
  5. Masamila

    JamiiForums Tanzania EPL title ya mwaka huu inaikataa Manchester city 'The Cityzens'; Kelvin DeBruyne, Fernandinho na Aymeric Laporte ni majeruhi hivi sasa

    Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens' Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi...
Back
Top Bottom