Ni mwaka mpya, amani kwenu
Zingatia: Kuna jamaa yangu ameniomba ushauri, na mimi natumia nafasi hii kuwaomba ushauri/ mawazo kwa niaba yake.
Story yake iko hivi....
Binafsi kuna changamoto nimekutana nayo ya kuzama kwenye penzi zito sana na mke wa mtu, ila mazingira ya kumpata yalikuwa...