malumbano ya hoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja ITV

    Watangazaji ITV malumbano ya hoja haswa Jacqueline anageuka msemaji wa serikali. Hii siyo sawa. Kwanini msiwaite waje waongee kwa facts.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania ‘Dada Mkatoliki’ akichangia kwenye kipindi cha 'Malumbano ya Hoja' kuelekea Uchaguzi 2025

    Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke. Katika kauli yake, alisema kuwa wao kama vijana wa UVCCM wanasimama na Mama — yaani Samia Suluhu Hassan...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania ITV futeni kipindi cha Malumbano ya Hoja, hakina manufaa kwa jamii

    Hiki kipindi nashauri ITV katika kipindi hiki ambácho uhuru wa maoni umefungwa hata kipindi hiki Cha muda huu kilichoko online hakina maana.
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katikati ya matangazo ya 'Live' ITV Mgeni aomba watu wote studio wasimame kumuombea Rais Samia, Watangazaji wapata kigugumizi kumzuia

    Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom