malisa akamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Malisa: Polisi hawajatuachia kwa dhamana kama walivyosema, wala sijahojiwa kwa tuhuma za jinai

    Godlisten Elisante Malisa amesema ameachiwa huru na Jeshi la Polisi leo asubuhi bila kudhaminiwa, akikanusha taarifa kwamba aliachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kuhusu tuhuma za jinai. Malisa amesema hajahojiwa wala kuandikiwa maelezo kuhusu tuhuma zozote za jinai, na kwamba mali zake zote...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Malisa alikamatwa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake. Soma: Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana Aidha baada ya mahojiano wameachiwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Malisa Hakufichwa Asifichwe, Pamoja na kuvurugana kwetu ndani ya nyumba, bado inawezekana kumkamata mtu kwa uwazi

    Kupitia ukurasa wake facebook, Askofu Benson Bagonza ameandika MALISA HAKUJIFICHA; ASIFICHWE Godlisten Malisa huwa hafichi maoni yake. Hafichi upendo na huruma yake kwa watu wote. Lakini pia hafichi kukerwa kwake na dhuluma. Marafiki zake na maadui zake wanajua. Hakuficha kurejea kwake nchini...
Back
Top Bottom