malipo ya uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Wilaya ya Ushetu tunahamishwa bila kufuata utaratibu huku tukipewa malipo duni

    Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, tumekuwa tukikumbana na changamoto ya kubadilishiwa vituo vya kazi bila kufuata taratibu stahiki. Aidha, watumishi wanaohamishwa hawapewi stahiki zao za uhamisho kama walivyoomba kupitia barua zao zilizowasilishwa katika Ofisi ya Mkurugenzi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji Malipo ya Uhamisho kwa Walimu Nanyumbu ni usumbufu

    Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa wahusika kutokana na mazingira ya kazi na maisha wanayokutana nayo baada ya kuhamishwa. Uhamisho...
  3. MKWANO

    JamiiForums Tanzania Watumishi wahamishwa bila malipo licha ya agizo rasmi, sheria inasemaje?

    Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi. Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita ofisini ili kila mmoja achague kituo cha kazi kwa maandishi. Hata hivyo, amezitumia barua za...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stahiki za malipo ya uhamisho Kisarawe

    Wilaya ya kisarawe, hivi karibuni kumefanyika uhamisho wa baadhi ya watumishi kwenda vituo tofauti vya kazi, uhamisho huo umefanyika bila malipo ya stahiki ambazo watumishi wanatakiwa kupatiwa ili kufanikisha kuhama kwao. Tatizo hili limekuwa linafanyika kwa miaka na miaka kwa hiyo kumekuwa na...
Back
Top Bottom