malima

Adam Kighoma Ali Malima (born 26 June 1966) is a Tanzanian CCM politician and former Member of Parliament for Mkuranga constituency from 2010 to 2015. He was also the Deputy Minister of Finance and Economic Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Polisi Jamii Malima aliyetajwa na JamiiForums kuwa anatumia madaraka vibaya, asimamishwa kazi

    https://www.youtube.com/watch?v=_fJw7MIsJZk Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Polisi Jamii Kata ya Nala, Yohana Nyagalu “Malima” kutumia Madaraka yake vibaya ikiwemo kunyanyasa na kudhalilisha Wananchi, Jeshi la Polisi limechukua hatua ya kumsimamisha Askari huyo kwa muda wa...
  2. RC Adam Malima ashauri Serikali kuwa makini kwenye Mkataba wa DP World, ili tusipigwe kama kwenye Mikataba ya Madini

    Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na...
  3. Adam Malima, kiongozi aliyependa maendeleo ya Mkoa wa Mwanza, hakika utakumbukwa

    Mwanza imepoteza kiongozi mwana maendeleo, amehamishwa kuelekea Mkoa wa Morogoro. Adam Malima hakika aliifuatilia miradi ya maendeleo kwa moyo mmoja, na hakusita kuwabana watu waliokuwa wanatapanya Mali za Wana mwanza. Ujenzi wa uwanja wa ndege aliufuatilia Kila siku, pale mwanza jengo la...
  4. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  5. RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja dogo la Magufuli (Kigongo - Busisi)

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa vya kujengea daraja la John Pombe Magufuli, lililopo Kigongo-Busisi, akisema utaratibu huo umekuwa ukiwachelewesha mafundi kutekeleza ujenzi wa daraja hilo. Kuanzia...
  6. Waziri Mabula, RC Malima wabwagwa ujumbe wa NEC CCM

    Baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi, wamebwagwa akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti Dk. Edmund Mndolwa. Vigogo wengine walioshindwa ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula, na Mkuu wa Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…