mali za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kila Mtanzania ajiulize swali hili. Kama nchi imetushinda tumpe tu Trump

    Kwa nini hapa Tanzania akitokea mtu akipambana na wezi wa mali za umma anatolewa uhai Naomba kila mtanzania ajiulize hili swali Kama bado hatujitambui tumpe nchi Trump
  2. Mkiandamana achaneni na kuharibu mali za umma au za watu

    Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration. Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga. KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara. Maandamano kwa watu waliostarabika...
  3. Kama taifa tumefikia pabaya sana. Kukemea uovu, ufisadi na wizi wa mali za umma mtu anamalizwa na kutekwa!

    Ninakaa natafakari sana Je, hii ni CCM iliyopogania uhuru wa taifa hili? Kwa nia njema kabisa mtu anatoa taarifa kuwa kuna mtu alikwapua bil zaidi ya 60 kwa kusambaza sare hewa. Ni kosa la jinai pia pesa hii iliyokwapuliwa ingeweza kujenga vituo vya afya zaidi ya 20. Kusema ukweli kuwaa katiba...
  4. C

    GE2025 Mnaoimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" ni mkumbo wa kichama au mnaujua ukweli wa kutiki?

    Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo. Nimesikitika sana nimeenda kituo cha afya kimoja kikubwa tu na kinahudumia zaidi ya kata tatu au zaid...
  5. W

    TBT- Magufuli: Nilichaguliwa ili kuwaaibisha waliokuwa wamezoea kuiba hela, Sikuja kuuza sura

    Wakuu Hayati Magufuli kuna wakati hakuwa na mchezo na wabadhilifu wa mali za umma, ingawa kwa sasa tunasikia wamerudi kwa kasi ya 5 G wakiendelea kujitanua Hayati aliwahi kusema yeye hajali kupendwa kwa sababu akishampenda mkewe inatosha bali yeye amechaguliwa ili kuwaaibisha waliokuwa wanaiba...
  6. Polepole ana uchungu mkubwa namna wahuni wanavyohusika na hujuma ili waibe mali za umma kwa uhuru

    Nimeambiwa na mzee mmoja kuwa Polepole anajua mengi. Jinamizi limekuwa likimsumbua juu ya hujuma alizofanyia Thomas Sankara wa Tanzania Tusubiri. Maana kila kitu kitawekwa wazi
  7. Tanzania fisadi wa pesa na mali za umma anaishi kwa amani zaidi ya mtu anayekosoa viongozi

    Fisadi anaweza kulala muda wowote anaoutaka, anaweza kulala mahali popote, anaweza kutembea hadharani muda wowote bila bughuza. Ila wazee wa NO REFORMS NO ELECTION lazima watembee kwa machale makali.
  8. Rais Samia: Watumishi wa Umma wanakosa uzalendo, unateua mtu anakwenda kupiga picha nyaraka za siri na kusambaza

    Rais Samia Suluhu Hassan, akiapisha viongozi wateule ikiwemo wa Tume ya Maadili leo Mei 24, amewataka kusimamia maadili kwa watumishi wa umma kwa nguvu na uadilifu. "Sisi viongozi ni watu na wanadamu, kuna miiko tumewekewa. Ukitufanyia tathmini leo unaweza ukatukuta asilimia 30 tu kweli...
  9. Raia masikini Watanzania ni sehemu ya wanaochochea wizi wa mali za umma na ufisadi kwa mitazamo yao.

    Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani. Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa...
  10. A

    DOKEZO Maghala ya SHIRECU yanataka kuuzwa kwa 'bei ya kutupa', TAKUKURU fuatilieni kuhusu hizo mali za Umma?

    Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Shinyanga (SHIRECU) inadaiwa kipo kwenye mchakato wa kuuza maghala yake yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam kwa bei ya 'kutupa' (bei hisiyo na thamani halisi) huku yakiwa ndiyo tegemeo kubwa la mapato katika ushirika huo. Hali hiyo ambayo inahofiwa kuwa ina...
  11. Je, umewahi kujiuliza hili swali; Kwanini viongozi wa kisiasa Tanzania wanavunja sheria, wanakwapua mali za umma na bado hawachukuliwi hatua?

    Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, kuna changamoto kubwa ya viongozi wa kisiasa kutenda makosa bila kuwajibishwa kisheria. Hii inasababishwa na sababu kadhaa za kimfumo na kisheria, kama ifuatavyo: 1. Ulinzi wa Kikatiba na Kisheria Katiba ya Tanzania inatoa kinga kwa viongozi...
  12. Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  13. Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  14. R

    Huko serikalini Kuna nini, ni fedheha mwalimu kusikia mtoto uliyemfundisha anakwiba Mali za umma!!

    Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi? Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili Si Kweli, Mbona huku darasani tunawafundisha msiibe, tunawafundisha msizini, Kila mtu awe na mke...
  15. SoC04 Magufulication: Mahakama ya ufisadi iwekwe kisheria kulinda mali za umma na uwajibikaji

    Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
  16. Nani alisema kuwa serikali haifanyi biashara? Hii ni ajenda ya viongozi majambazi ya mali za umma

    Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo. Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake. Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
  17. Kwanini CCM pamoja na kujilimbikizia mali lakini bado wanapora Mali za Umma?

    Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi. Kwa ivo unaposikia CAG anaposema fedha zinaibiwa kwenye taasisi za umma ujue hapo anamaanisha...
  18. M

    Sheria ya kukataza uhusiano wa mali za umma na majina binafsi itungwe

    WanaJamiiForums, Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji. Hela zinazotoka Hazina...
  19. Kuwa na shule zinazofua hadi nguo za watoto, ni matokeo ya uzembe na kupenda kuiba mali za umma!

    Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko? Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii, Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake? Ataweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…