Hii inaitwa Made in Kisiwa Juji.. Yaani mpaka leo mwaka 2019 nachelea kusema kwamba hatujafanikiwa kujuwa maslahi ya Taifa ni nini na najuwa kuna mahali tuliteleza.
Fuatilia haya maelezo yaliyonukuliwa mahali. Sauti kutoka kisiwa Juji.
" Kila aingiae madarakani anakuja na viroba vya vionjo na...