makundi sogozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi Kilimanjaro na Tanga, watakiwa kupunguza makundi sogozi 'WhatsApp'

    Waratibu na wasimamizi wa uchaguzi kutoka mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, wametakiwa kupunguza makundi sogezi 'Whats App' katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ili kuepuka kuvujisha taarifa za siri kwa kutuma sehemu isiyostahili. Mbali na hilo pia waratibu hao na wasimamizi...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ukifa nani atawapa class, college mates wako taarifa?

    Duniani tunaishi tunaishia. College mate wangu ametuacha mapema sana taarifa tumezipata kwenye group la chuo miezi mitatu toka kufariki kwake na ndipo tukajichanga kwenda kumfariji mjane. Na hapa ndipo wazo likaniijia dunia ya sasa watu tuna makundi mengi ya kufarijiana katika matatizo...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…