Makumbusho (Kata ya Makumbusho, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. Mikocheni and Mwananyamala form the ward's northern and eastern borders, respectively. The ward is bordered to the south by the wards of Ndugumbi and Magomeni. Tandale and Kijitonyama wards are in the west. According to the 2012 census, the ward has a population of 68,093.
Eneo linauzwa Square meters 371
Location Dar es salaam - makumbusho
Bei Billion 1.5 Maongezi yapo ofisini
Hiyo nyumba ina family house 2 ziko hivi unaingia sitting room, dining, kitchen, choo na store kisha unapanda ngazi juu kuna vyumba vitatu vya kulala vyote master ila chumba kimoja ni...
House For Sale.
- Located 100 meters from Victoria bus station.
Details;
House with Living room, Two bedrooms one Master bedroom, public toilet, kitchen with balcony and balcony, outdoor toilet, laundry room and storage room, CCTV camera, Electric Fence and WiFi.
House is suitable for...
Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart!
Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
House For Sale.
- Located 100 meters from Victoria bus station.
Details;
House with Living room, Two bedrooms one Master bedroom, public toilet, kitchen with balcony and balcony, outdoor toilet, laundry room and storage room, CCTV camera, Electric Fence and WiFi.
House is suitable for office...
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Anonymous
Thread
abiria
daladala
daladala za mbezi
magomeni
makumbusho
mbezi
Mlango wa siri, chumba kilichofichwa…
Mwaka 2017, wakati wa ukarabati, Makumbusho Ndogo ya Nykøbing Falster iligundua chumba cha siri ndani ya jengo hilo.
Chumba hicho kilikuwa kimejaa masanduku ya zamani, maandishi na michoro, vikifunua urithi wa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo, Cornelius S...
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa.
Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele...
Wakuu,
Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wananchi wanaotumia usafiri wa daladala kutoka Mbezi kupitia Goba - Kawe na zile zinazoelekea Makumbusho.
Nyakati za asubuhi, kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa daladala. Magari yaliyopo kwenye ruti hii yanaonekana kuzidiwa uwezo, kiasi kwamba...
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu.
Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
Makumbusho yaliyojengwa kwa ajili ya kumbukumbu ya Kapteni Thomas Sankara na wenzake 12 waliouwawa pamoja hatimaye yamezinduliwa rasmi.
Makumbusho hayo yamezinduliwa mnamo tarehe 17 Mei 2025 katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa Burkina Faso na wale waliotoka nchi jirani kama vile Senegal...
Stendi ya makumbusho ni kati ya Stendi ambazo zimekuwa zikipokea daladala nyingi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, lakini stendi hiyo imekuwa ikipoteza hata ubora mdogo iliyokuwanao awali, ambapo kwa sasa imechakaa na imekuwa kero kwetu madeleva wa daladala.
Licha ya daladala...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025.
Rais Dkt. Samia amepokelewa kwa heshima ya kijeshi...
Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo!
Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika...
Eneo linauzwa Makumbusho.
Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower.
Sifa za Eneo:
Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road).
Liko barabara ya kuelekea kituo cha Daladala Makumbusho.
Linafaa kwa matumizi yote, biashara au makazi.
Ukubwa wa Eneo: SQM 988.
Nyaraka...
Bob Marley Museum ni kivutio cha watalii huko Kingston, Jamaica, kinachotolewa kwa mwanamuziki wa reggae Bob Marley. Jumba la makumbusho liko 56 Hope Road, Kingston, na ni mahali pa makazi ya Bob Marley. Ilikuwa nyumbani kwa lebo ya rekodi ya Tuff Gong ya reggae ambayo ilianzishwa na The Wailers...