makucha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake ambao huweka makucha bandia marefu vidoleni huwa sio mateso kwao?

    Wanawake wenye makucha marefu bandia vidoleni kwenye mikono huwa wanafanyaje mambo mbalimbali kama kupika, usafi, kufua, kutawaza, mapenzi n.k ? Huwa sio mateso na bugdha?
  2. JamiiForums Tanzania Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia

    Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia SOMA HAPA. Sasa kila Dereva anayekamatwa analialia kusamehewa eti hakuwa na taarifa.. Hadi wengine wanajifanya kutoa Rushwa. Nani alimwambia LATRA wanapokea Rushwa? Nawaonya tena, wale Madereva wanajifanya kutoa chai pale...
  3. JamiiForums Tanzania Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

    Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuku Makucha (Parody)

    Nimekutana na hii picha kwa kweli nimecheka sana. Na tunaishi wa watu wenye mawazo ya mbali sana. Don't take it serious it's for fun tu 😃
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…