maktaba ya mtandaoni


  1. R

    Maktaba ya mtandaoni TOVL yafanyiwa marekebisho makubwa ya muonekano na utendaji

    Habari wana JF Maktaba pekee ya mtandaoni Tanzania ( Tanzania Online Virtual Library ) imefanyiwa marekebisho makubwa ya muonekano, sikuwa nimepitia kwa kipindi cha zaid ya wiki moja sasa, ila leo nikahitaji kucheki kama jamaa wameongeza vitabu vingine, ndio nikakutana na ujumbe kuwa wanafanyia...