Kweli nyakati zinakimbia, na muda huja na fasheni yake.
Leo hii wadada wenye makalio makubwa ndio sukari ya mji ila kipindi kile walichukuliwa kama vibonge na hakuna aliekuwa sexually attracted kama ilivyo sasa
secretarybird Chizi Maarifa nafikiri unakumbuka za zile