Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.
Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.
Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.
Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa...