Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Suma Ikenda Fyandomo amesema kuwa Askari Polisi Wilaya ya Kyera wanaishi kwenye bwalo ambalo walilijenga kwa nguvu zao wenyewe, lakini pia wanaishi pamoja na familia zao, lakini hivi karibuni wameongezewa askari wengine 30 ambao nao wanaishi kwenye bwaro hilo...