Sikua nnafahamu hili, meanzo nlijua NBC wanawasogeza wateja wao na huduma kedekede ili wasisumbuke kwenda ATM
Ila leo nmefahamu kua ni huzuni
Sikuwa napenda,hitaji kutumia hizi apps za mkononi., hadi wao wenyewe waliponipigia waniunganishe!
Yaani ukinunua muda wa maongezi wa 2000 na wao...