Ramani ya jengo jipya la makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linalotarajiwa kugharimu Sh34 bilioni, imewasilishwa leo Alhamisi Mei 29, 2025 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Makao hayo makuu mapya, ambayo...