makamu rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti za Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/hongera-dk-nchimbi-kwa-kumeza-kidonge-kichungu-cha-tls-5354880 Hii ni makala ya pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kwa...
  2. GENTAMYCINE

    Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  3. U

    Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

    Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau. Habari kamili: Katika mkutano na...
  4. Inside10

    Makamu Rais Dkt Mpango: Waliohusika Na Shambilio Dhidi Ya Padri Kitima Wachukuliwe Hatua.

    https://www.instagram.com/reel/DJO2fzEC2Om/?igsh=MXM2cW1zd3Q2NDBqNw==
  5. U

    Picha bora kabisa ya mwaka huu mke wa Makamu rais us na wanae wawili

    Tazameni walivyopendeza
  6. Megalodon

    Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

    Kwa taarifa zisizo RASMI( unpublished data) ni kwamba Dr Mpango amekuwa haridhishwi na namna nchi inavyopelekwa kwa sasa hasa kwenye uwekezaji wa resources . Kwa mfano, uwekezaji wa DP world Tangu ile Safari ya Dubai, Dr Mpango alikuwa against na process nzima, resources za nchi zinaenda...
Back
Top Bottom