makabila ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanawake kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao iko kwa Warangi tu au na makabila mengine?

    Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ? Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao Nikasema nije kwenye jamvi niulize
  2. A

    JamiiForums Tanzania Makabila gani wasimamizi wa familia ni wanawake

    Habari wana JF Nahitaji kujua ni makabila gani tanzania ambayo wasimamizi wa mambo yote na waratibu wa majukumu ya familia ni wanawake. (yaani ni makabila ambayo baba ni yupo kama picha ya mlinzi na mtoaji mahitaji ya familia na anahusika tu pale majukumu makubwa yanayohitaji maamuzi yametokea...
  3. Sina Million 30

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Kujifunza Lugha za Makabila ya Tanzania: Comment Jinsi mnavyosalimia na chochote tafsiri kwa kiswahili

    Kiswahili kikikuzidi sana unaweza ukawa "Kiongozi wa Kitaifa" ila lugha ya Asili ni muhimu sana.. Kama mgeni ukisafiri utahitaji mahitaji mbalimbali ikiwamo Lodge, Manunuzi ya Vitus, na Kujitambulisha kwa wenyeji ikiwamo Mwenyekiti wa KIJIJI, Balozi wa Nyumba Kumi ili ufahamike,, Sasa pitia...
  4. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumtambua binti wa kitanga?

    Msaada tutani wakuu. Nawezaje kujua kama huyu ndiye au siye? Je wana alama yoyote kama wamakonde au? Naomba niachwe kwanza nisihojiwe kwa sasa nipo kwenye uchunguzi maalum. Tafadhali vijana wa hovyo msinambie nikamwulize mwakinyo.🤣
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini?

    Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini? Wahadzabe wameishi maisha mengi kama walivyoishi kwa maelfu ya miaka, wakitegemea ujuzi wao wa kina wa asili na desturi za jadi kuishi. Licha ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Methali ya mtegemea Cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga, wakinga, Wahindi, Wapemba na Waarabu ni kwa makabila mengine tu

    Kuna methali ya uongo ya ooh mtegemea cha nduguye hufa maskini Methali ya mtegemea cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga,wakinga,Wahindi,wapemba na waarabu ni Kwa makabila mengine tu Kama wandengereko, Wakwere, Wazaramo, Wamakonde, Wasambaa, Waha, Wafipa, Wapare, Wagogo na Wakojani...
Back
Top Bottom