makaa ya mawe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  2. I

    Ndugu zangu naombeni kazi kwenye makaa ya mawe (Songea na Mbeya)

    Habarini wapendwa poleni na majukum naombeni msaada wa conection ya kazi kwenye makaa ya mawe songea au mbeya. Mimi ni operator wa excavator mzoefu, nimependekeza kwenye makaa ya mawe kwa sababu ni kazi ya kudumu tofauti na kwenye miradi ya barabara. Msada wenu tafadhali.
  3. Mr Why

    Kulingana na ufafanuzi huu wa Rostam Aziz kuhusiana na umiliki wa Migodi unadhihirisha kuwa Polepole ametengeneza uzushi na kashfa chafu

    Ufafanuzi wa Mh Rostam Aziz kuhusiana na umiliki wa Migodi unadhihirisha kuwa Polepole ametengeneza uzushi wa kuchafua biashara za Mh Rostam Aziz na inaweza kumgharimu Polepole kwa kiasi kikubwa huko mbeleni kwasababu anazungumza kwa kuzusha bila kuwa na ushahidi kamili Baadhi ya Watanzania...
  4. meningitis

    Makampuni ya Wazawa yaliyopewa kazi ya kuchimba makaa ya mawe na NDC

    By Jacob Maganga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
  5. Common Folk

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
  6. R

    Je, makaa ya mawe yanafaa kupikia Katika majiko ya majumbani kama mkaa wa kawaida unavyotumika?

    Salaam! Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa, Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya mawe yadondokke kutoka Katika haya malori ya kubebea makaa ya mawe na kwenda kuyatumia makaa haya...
  7. M

    Yaitishwe maandamano makubwa kupinga wizi wa rasilimali za Watanzania kupitia makaa ya mawe

    Iweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe? Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano yaitishwe ili hao wanadhania hii nchi ni mali yao watupishe.
  8. Isenye

    Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  9. kyagata

    Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

    Wakuu Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma. Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
  10. BigTall

    Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
  11. K

    Haya anayoyasema Polepole kuhusu mgodi wa makaa ya mawe kama ni ya kweli Serikali chukueni hatua za haraka

    Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka utachimbwa kwa miaka 400. Kwa uchimbaji wa sasa unakadiriwa kuwa ule mkaa kwa mwaka unachimbwa kwa...
  12. Masai wa Town

    Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu

    Betting imekuwa tanuru la moto wa makaa ya mawe maishani mwangu Ndani ya siku tatu nimepoteza laki nane na themanini (yaani 880,000). I feel like I am the most fool all over the world
  13. Carlos The Jackal

    Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

    Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?. Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu inapiga simu, inasema 'Acheni Rostam Auendeshe Mgodi'. Nina uhakika , Hata hizi Kauli za MULIRO Ama...
  14. Heparin

    Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

    Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram. Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe...
  15. G

    Alshabab, walikua wanauza tani 30 ya makaa ya mawe kwa laki mbili, kule kwenye Amani na utulivu tani 30 ulikua elfu thelathini.

    Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
  16. Knock life

    Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa . Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
  17. Lord Denning

    TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  18. Fbn

    Uranium sio makaa ya mawe kwako mtawala

    Hakuna kitu hatari kama uranium kuanzia kibailojia,kifizikia,kikemia na kivita. Swala la kusema tuanze kuwa na vinu vya nyuklia ila turudi nyuma kama uwendeshaji utakuwa ni wa serikali basi ni kuleta maafa kama mlivyo fanya Mwendo kasi,bandari na n.k Uranium itaki uccm wala wakina lucas...
  19. W

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ruvuma zajivunia kusaidia jamii

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku migodi ikiendelea kuboresha huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa zahanati hali...
  20. I

    NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
Back
Top Bottom