majina ya viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjomba Fujo

    SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

    Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli. Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
  2. S

    Iwapo itatokea, pendekeza majina ya viongozi wa CCM na serikali unaodhani wanastahili kuwekewa vikwazo vya kusafiri nchi za Ulaya na Marekani

    Habari ndio hiyo. Tuwasaidie wazungu kwenye haya mapambano ya kudai haki za watanzania dhidi ya kikundi fulani cha watu hapa nchini.
  3. G

    Miradi ya serikali ipewe majina ya utaifa iache kupewa majina ya viongozi, Kodi za wananchi na mikopo inayolipwa na wananchi hujenga miradi

    Kuanzia kipiindi cha awamu ya tano kumekuwa na trend kubwa mno ya kuipa miradi majina ya viongozi, Hii inakoelekea ni kubaya sana. Miradi inajengwa kwa kodi wanazolipia wananchi na madeni wanayolipia wananchi, Sioni sababu ya kuita miradi majina ya viongozi unless wao wawe wametoa hela mifukoni...
  4. MIXOLOGIST

    Nawahoji nyinyi raia wenzangu; Kwani ni lazima kuita majina ya viongozi miradi iliyojengwa kwa kodi zenu?

    Kwa hasira kuu. Huu uchawa pro-max ukome. Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona. TUMECHOKA...
  5. F

    Kwanini tunaenzi wanasiasa peke yao?

    Kuna taarifa kuwa stesheni za SGR zitapewa majina ya marais wetu. Huu ni muendelezo wa karibu kila kitu cha maana kupewa jina la aliyekuwa Rais (hivi karibuni ni Rais aliyekuwa madarakani). Tuna shule zinazoitwa Mkapa, Vitengo vya Hospitali vinavyoitwa Kikwete, stesheni za basi za Magufuli...
  6. K

    Stesheni za SGR ambazo zimepewa majina ya viongozi ziwe pia ni sehemu ya kujifunza na kufahamu historia za viongozi hao

    Kwako Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ninakusalimu kwa jina la JMT, Kufuatia uzinduzi rasmi wa safari za SGR, Dsm- Dom uliofanya siku ya 01/08/2024 na Taifa kuandika historia ya kipekee katika ukamilikaji wa mradi huo mkubwa ambapo sambamba na uzinduzi wa safari hiyo pia tukio hilo...
  7. Yoda

    Vituo vya mabasi ya mwendokasi Dar navyo vipewe majina ya viongozi

    Vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni, Gerezani, Ubungo, Morocco na Mbezi ni vyema vikapewa majina ya viongozi wakuu wa nchi ili kuenzi mchango wao wa kuweka miondombinu mizuri na usafiri mzuri unaovutia wa mwendokasi katika jiji la Dar es Salaam. PIA SOMA - Treni zote za SGR Kupewa...
Back
Top Bottom