Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku.
Wametoa pongezi hizo kijijini hapo Agosti 12, 2025 wakati wa zoezi la...
Katika utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umegawa majiko na mitungi ya gesi kwa Maofisa na Askari wa Jeshi la Magereza katika mikoa 14 nchini ili kulinda afya zao kwa kuwaondoa kwenye matumizi ya kuni na mkaa.
Akizungumza...
WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI
📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza
📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala
📌REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi
📌Mha. Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi...
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa ajili ya kugawiwa majiko ya gesi pamoja na fedha Tsh.50,000/= ambayo aliitoa kwa mafungu mawili ya...
Leo tarehe 22 Aprili, 2025, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Daniel Semuguruka, amekabidhi mitungi ya gesi zaidi ya hamsini (50) kwa wanawake wajane wanaoishi katika Halmashauri ya Bukoba.
Akizungumza katika Baraza Maalumu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Bukoba...
Ukiitaji chochote hapo juu mkuu nicheki
Bei zangu ni za viwandani na bidhaa ni uhakika. Pia ukiitaji ushauri kuhusu biashara hizi nipo tayari
Mikoani natuma kwa uaminifu Sana
Whatsup 0764225747
Kwa Mungu yote yanawezekana
Akitoa Gesi hizo 143 katika kata ya Nyangolo, Malengamakali pamoja na viti 15 na meza Mbili kwa kila kata kwa Niaba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Iringa vijijini Ndugu Constatino Kiwele, Katibu wa UWT Wilaya ya iringa vijijini ndugu Sophia nyalusi aliwaomba Mabalozi wa kata hizo mbili...
Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi.
Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Wanajamvi sijui kama na nyie mnaona au ni mimi tu,nimekuwa nikifuatilia kwa muda sasa naona Wabunge wanagawa sana Majiko ya Gesi majimboni mwao.
Ninachojiuliza ni kwamba wanaigana au wanakubaliana kuwa ndiyo zawadi nzuri au kuna maelekezo au kuna sehemu wamepata majiko hayo kwa fadhila au ni...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika ukumbi wa 10M Kibondo kueleza kwa wananchi wake mambo makubwa aliyoyafanya pamoja na Serikali ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.