maji taka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    RC Dar na mamlaka nyingine, hamjaona chemba zinavyotiririsha maji taka Kariakoo?

    Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya chemba zinazotiririsha maji taka katika maeneo ya biashara...
  2. Torra Siabba

    KERO Responded Suala la chemba kutiririsha maji taka Mitaa ya Nyamwezi na Mhonda - Kariakoo, Mamlaka husika zinachukulia poa?

    Kipindi hiki cha mvua hali sio shwari kwenye baadhi ya Mitaa ya Kariakoo, Watu tupo hatarini kupata magonjwa kutokana na chemba kadhaa kutiririsha maji kwenye maeneo ya karibu na biashara zetu sambamba na kwenye njia ambazo watu tunapita, hali hii inaleta kero kubwa. Mfano katika Mitaa ya...
  3. JanguKamaJangu

    KERO Responded Posta ya Dar kuna chemba zinatiririsha maji taka barabarani, Mamlaka hazijaona, mbona zipo kimya?

    Eneo la Posta barabara inayotokea kwenye Kanisa la KKKT kuelekea Karemjee kuna chemba zimepasuka zinatiririsha maji taka, hali ni mbaya hasa kwa watembea kwa miguu. Tunaomba mamlaka zitafute suluhu ya hii changamoto, njia nzima imejaa maji taka hali ambayo inaleta kero na hofu ya Watu kupata...
  4. Mwanongwa

    DOKEZO Shinyanga: Maji taka yanayotoka kiwanda hiki cha vinywaji sio salama, Mamlaka zifuatilie

    Hivi hapa Shinyanga kuna kiongozi wa mazingira? Viongozi wa mkoa wako wapi? Na wamafanya nini? Wale wa Wilaya vipi? Kusema ukweli sisi wananchi wa Shinyanga tumekuwa tukiteseka kwa muda mrefu na maji machafu ambayo yamekuwa yakitiririka kutoka ndani ya kiwanda na kuja hadi kwenye makazi ya watu...
  5. milele amina

    KERO Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Moshi Manispaa, MUWSA, tunaomba mtenganishe Bill za kulipia maji na Notice ya kukatiwa maji

    Mamlaka ya maji safi na salama Moshi - MUWSA, Sasa wanafanya kazi kwa mazoea kama sio kufuru na kudharau wateja wa maji safi na salama. Kauli inayosema "mteja ni mfalme" imegeuka na sasa mteja anajisikia kama mtumwa. Tabia mliyoanzisha ya kutuma bill za maji leo na kuwakatia wateja maji leo...
  6. Waufukweni

    KERO Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid (Zanzibar) maji taka yanasambaa mitaani na barabara ni mbovu

    Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua. Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
  7. Roving Journalist

    Responded DAWASA: Chemba ya maji taka iliyokuwa inamwaga maji ya taka Ilala sokoni, imetengenezwa

    DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni. Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
  8. M

    KERO Responded DAWASA shughulikieni hii chemba ya maji taka inayomwaga maji ya kinyesi ILALA sokoni, Mtaa wa TABORA na UHURU mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla. Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
  9. Y

    Fundi bomba majumbani na maofisini free site visit

    Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
  10. Mwanongwa

    KERO Mbeya ina changamoto ya chemba kuvuja na kutiririsha maji taka mitaani na kwenye mito

    Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa ajili ya nini. Sasa tuachane na huo uchafu ambao wenye mamlaka wameonekana kushindwa kutatua...
  11. N

    KERO Keko Mwanga: Mtaa unaonuka, mitaro ya maji taka ni tishio afya za Wananchi, agizo la DC ni kama ‘limepuuzwa’

    Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya kawaida na maeneo mengine, harufu ni kali na mbaya ya uchafu. Harufu hii inatokana na mitaro ya maji...
  12. Kiranja Mkuu

    DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

    Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi. Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
  13. N

    KERO Responded Kariakoo kuna chemba zinatema maji machafu na kuhatarisha afya za Watu, Viongozi wapo kimya

    Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka kushindwa kuwajibika kuzingatia usafi wa mazingira katika eneo hilo. Ni zaidi ya Wiki mbili sasa...
  14. Mwanongwa

    KERO Idara ya Maji Mbeya zibueni chemba za maji taka zilizoziba, zinasababisha kero kubwa

    Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya. Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka. Mwanzo ilikuwa chemba ya pale Sabasaba karibu na ofisi za CCM, ilikuwa ikivujisha maji taka kwa muda mrefu sana...
  15. Ballack-13

    Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

    Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri. Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
  16. A

    KERO Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa

    Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa. Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi angeruhusiwa kufanya hivi? Mamlaka husika zichukue hatua.
Back
Top Bottom