maji segerea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kundo Mathew: Mkurugenzi wa DAWASA fanyia kazi suala la Maji Segerea, Tusizowee changamoto za Wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
  2. Annie X6

    JamiiForums Tanzania KERO Nina masikitiko makubwa: Pamoja Waziri kuchukua hatua na kutoa maelekezo, bado Kinyerezi maji yanatoka kwa manati

    Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako? Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji wametoa wapi. Ni Watanzania kweli hawa? Wana roho mbaya sana. Kama tank halikuwa na maji na wamejaza...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake

    AWESO AMUWEKA PEMBENI MENEJA DAWASA KINYEREZI, MALALAMIKO YA WANANCHI YACHANGIA Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake ikiwa ni pamoja na kushindwa kujua Takwimu kamili za mahitaji ya Maji kwenye eneo...
Back
Top Bottom