maji arusha

Maji ya Chai is an administrative ward in the Meru District of the Arusha Region of Tanzania. The ward is home to the University of Arusha is also where the gate of Arusha National Park is located. According to the 2012 census, the ward has a total population of 29,313. Thus making the ward the most populous in Meru district.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Arusha timiza wajibu wako

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'. Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
  2. tonicimmobility

    Waziri Aweso na Makalla kushirikiana kutatua changamoto za maji Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, leo Jumatatu Novemba 24, 2025, wakizungumza kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Arusha. Katika mazungumzo hayo, Makalla ameonyesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inayoendelea...
  3. M

    TZS520bn zimepelekwa Arusha kumalizana kabisa na tatizo la maji Arusha mjini ni lita 200milioni kila siku,Hiii ni miaka 4 tu sijui ikiwa 10 itakuwaje?

    "Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea) na kupoteza uzalishaji kazi ", Huu Ni mfano mzuri wa jinsi huduma rahisi kama maji safi inavyoweza...
  4. tamuuuuu

    KERO Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji

    Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
  5. Ojuolegbha

    MIRADI YA MAJI ARUSHA:Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani

    MIRADI YA MAJI ARUSHA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) inaendelea na Mradi wa Majisafi wa Mirerani. Mradi huu unagharimu shilingi bilioni 4.3 na utahudumia wakazi wapatao 57,607 wa Kata za Endiamtu na Mirerani zinazounda mji mdogo wa Mirerani na kwa sasa...
  6. Just Pray

    PreGE2025 NIRC wasaini mkataba wa bilioni 17 ukarabati skimu za umwagiliaji bonde la mto wa Mbu Arusha

    SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni 17. Mradi huo unajumuisha ukarabati wa mifereji yenye urefu wa jumla ya Mita 37,484.71, sawa na...
  7. Thomas Odera

    KERO Uhaba wa maji jijini Arusha

    Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi. cc Wizara ya Maji
  8. K

    KERO Arusha: Wanawake takriban 200 waandamana na ndoo mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakidai "Hatuna maji miaka 10"

    Mama achana na machawa fanya kazi https://youtu.be/nNphQMdV-XU?si=r54NUretG0H5LM2d
  9. Hossam

    KERO Makonda ingilia kati tatizo la maji Kiseriani, yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu. Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa maji na kuendelea kuteseka. Tunaomba ingilia kati tupate huduma hii kama wakazi wengine wa maeneo...
Back
Top Bottom